Dr Slaa kutikisa Singida

Dr Slaa kutikisa Singida

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kesho anaanza ziara ya siku nne Mkoani Singida.Ziara hiyo itaanza tarehe 1-4 mwezi wa 6

Katika ziara hiyo kiongozi huyo anatarajiwa kufuta propaganda chafu zilizofanywa na Katibu Mkuu wa CCM alipokuwa katika ziara maeneo hayo siku chache zilizopita.

Kiongozi huyo anatarajiwa kuanzia ziara yake katika wilaya ya Mkalama jimbo la iramba mashariki siku ya Jumapili.

Jumatatu Dr Slaa atakuwa katika jimbo la Singida Mashariki ambapo mbunge wake ni Tundu Lissu.Anatarajiwa kutembelea Kata za Puma,Ikungi na Mungaa.

Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mikutano mikubwa ya hadhara,kufanya mikutano ya ndani na kupokea mamia ya wanachama wapya.
 
Kachelewa Sana lisu yupo uchi kule slaa akapumzike na wifi yetu mushumbuzi Josephine
 
Habari njema hizi...
Mbowe nae yupo Arumeru Magharibi leo
 
Babu angetulia, aunde timu aende.... Singida sio sehemu ya kwenda harakaharaka
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kesho anaanza ziara ya siku nne Mkoani Singida.Ziara hiyo itaanza tarehe 1-4 mwezi wa 6

Katika ziara hiyo kiongozi huyo anatarajiwa kufuta propaganda chafu zilizofanywa na Katibu Mkuu wa CCM alipokuwa katika ziara maeneo hayo siku chache zilizopita.

Kiongozi huyo anatarajiwa kuanzia ziara yake katika wilaya ya Mkalama jimbo la iramba mashariki siku ya Jumapili.

Jumatatu Dr Slaa atakuwa katika jimbo la Singida Mashariki ambapo mbunge wake ni Tundu Lissu.Anatarajiwa kutembelea Kata za Puma,Ikungi na Mungaa.

Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mikutano mikubwa ya hadhara,kufanya mikutano ya ndani na kupokea mamia ya wanachama wapya.

Tumaini Makene
Kurugenzi ya Habari
 
Last edited by a moderator:
Habari safi Sana hizi tumeanza na Mungu Tupo na Mungu natutamaliza na Mungu... Intarahamwe Mtasoma Number
 
Ni jambo jema, lakini afanye ziara maeneo ya vijijini zaidi huko singida, vijijini ndiko ccm wanapowaibia wananchi! Bila viongozi wa upinzani kufanya ziara vijijini ni bure kabisa!
 
Muwe mnaeleweka basi DR Slaa atatikisa kiuno chake akiwa Singida au atatikisa nini?
 
Back
Top Bottom