Nteko Vano
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 434
- 113
Tehe tehe tehe, katika pilika pilika nilikutana na jamaa mmoja kutoka ethiopia akaniuliza kuwa JK mgonjwa? Nikamhoji kwanini umeuliza akasema kumbukumbu zake zinamtuma JK na Hayati PM wao pamoja na yule wa ghana walikuwa na faragha sana labda walikuwa wanajadiliana afya zao! Nikacheka nikamwambia itakuwa masuala ya kilimo maana walihudhuria mkutano USA pamoja. Akaguna akasema haya mwanaHakika Dr Slaa afya yako ni ya uhakika maana kila siku upo barabarani na huchoki angekuwa yule Baba Mwanaasha sasa Hivi Chali
Piga kazi Dr. unajukumu kubwa sana endelea kupaa sisi tuko nyuma yako:flypig:
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.
Wasalimu wana Igunga, wakumbushe kuwa safari ya ukombozi ni ngumu lakini wasikate tamaa, kazi iliyo mbele yao ni ndogo.... awike, asiwike, kutakucha tu.
we mkali kenya sio tz mkuuMwaka huu lazima ufe kwa ugonjwa wa moyo unafanya kazi ngumu kuliko makuli wa bandarini.
Pia tungependa kupata updates za mkutano huo ikiwezekana kupitia uzi huu.Anayemjua mtu huko Igunga amtafute atupe details.Kama hajajiunga hapa JF ashauriwe kufanya hivyo haraka tena muda huu.
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.
Huyu Mzee kweli ameamua kuimaliza CCM. Kwa kasi hii 2015 CCM bye bye
Aliapa kipindi kile kwamba atakuwa na kazi moja tu kuisimika CDM mpaka vijijini.Na kweli anatimiza ahadi.
Umetisha mkuu kwa ubunifu.....Nimegundua kuwa M4C ni kama EBOLA inaua ndani ya sekunde!
Pamoja na uchafu huo aliwashinda kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Teh! Teh!Naona wamekumbuka igunga, basi Wamnunulie nguo mgombea wao, uchaguzi ukirudiwa aonekane msafi kidogo,jamaa alikua mchafu mchafu wakati wote wa uchaguzi uliopita.
Naona wamekumbuka igunga, basi Wamnunulie nguo mgombea wao, uchaguzi ukirudiwa aonekane msafi kidogo,jamaa alikua mchafu mchafu wakati wote wa uchaguzi uliopita.
hata gwanda safi na kinyozi wa kumsafisha inatosha.Wananchi Watamchagua wapi kama amekaa kama mlevi wa gongo. Au ndio mpaka apate posho ya mjengoni ndio anunue nguo. Unajua usafi una heshima yake bana.Wanaigunga walichagua muwakilishi, hawakuwa na shida na mwanamitindo ama mlimbwende.
Kama ulimbwende ni tija kwenu basi mchagueni miss Tanzania ama miss utalii awe kiongozi wenu.
Kama mwanamitindo ni tija kwenu basi mchagueni mustafa hasanali au Ally Remtulah ili msipate shida ya kutafuta madesigner wa nguo!