Mkuu Chama unachonifurahisha unajaza sana post zangu hata usiku hulali.Good and Keep it up.Kila Thread yangu inakuwa Live kwa muda mrefu kwa sababu wewe unaziweka Live.
We CHAMA hata Siasa ni sehemu ya maendeleo acha ukiazi mkuu
Pamoja sana Mkuu naona kamanda Mungi kapigwa ban sijui ni hujuma baada ya kazi nzuri aliyofanya juzi kwenye kesi ya Lema...Huyo Mods alie mfungia atakuwa CCM tu...
Kumekucha jamani mlioko Arusha tunaawachia jukumu mtupe Live coverage.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbriad P. Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika jiji la Arusha siku ya Jumamosi tarehe 06.10.2012 kuanzia saa 8 mchana. Pamoja na mambo mengine Kiongozi huyo wa CDM pia atatumia mkutano huo kuzindua rasmi kampeni za udiwani katika kata ya daraja mbili,uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vilivyopo mtaa wa NDARVOI.
Tayari kuna hekaheka kubwa katika jiji la Arusha kuhusiana na mkutano huo ambapo mazungumzo ya watu mbalimbali yanazungumzia mkutano huo unaotarajiwa kuwa gumzo.
Taarifa za awali zinasema mkutano huo pia utatumika kufuta nyayo za chama cha CUF ambacho kilisomba watu Dar-es-Salaam kwenda kuwahutubia Arusha ili kuepuka aibu ya kukosa watu.Pia inadaiwa wananchi wa Arusha wamedhamiria kuonyesha dunia uungaji mkono wao kwa chama cha CDM.
Jamani Mods naomba huyu jamaa mmusamehe afunguliwe ili kesho tupate Updates.. Invisible , Paw , Maxence Melo
Arusha imetosha sasa,nguvu pelekeni mliokoanguka vibaya uchaguzi mkuu uliopita,kuna sehemu hamkua hata na wagombea which means hamna hata mwanachama mmoja huko otherwise angegombea angalau kutoa mkosi
Mkuu KIM KARDASH, mkutano wa leo ni wa kuzindua kampeni za uchaguzi, siyo M4C. Amka
Mkuu Mungi mbona nilisika ulikula Ban?
uchaguzi upi?huu aliotangaza zitto kwamba atagombea au?mkuu kim kardash, mkutano wa leo ni wa kuzindua kampeni za uchaguzi, siyo m4c. Amka
Ni kweli Mkuu Molemo, kuna member alinikera nikafanya kosa lililostahili adhabu, nashukuru mods wamekuwa waungwana, baada ya kukata rufaa na kusafisha kauli yangu nilieleweka. Imenitesa, manake siku nzima ya jana nilikuwa ban ambayo ingelikuwa lifted one week later!
Mkuu KIM KARDASH, mkutano wa leo ni wa kuzindua kampeni za uchaguzi, siyo M4C. Amka
uchaguzi upi?huu aliotangaza zitto kwamba atagombea au?
Mkuu nadhani leo utakuwa frontline kutuhabarisha kila kitakachojiri kwenye mkutano.
Jifunze wanawake ni mama zetu na usirudie kutukana wavaa baibui kwani tofauti ya mama yako na yule mama ni mavazi tu.Ni kweli Mkuu Molemo, kuna member alinikera nikafanya kosa lililostahili adhabu, nashukuru mods wamekuwa waungwana, baada ya kukata rufaa na kusafisha kauli yangu nilieleweka. Imenitesa, manake siku nzima ya jana nilikuwa ban ambayo ingelikuwa lifted one week later!
Jifunze wanawake ni mama zetu na usirudie kutukana wavaa baibui kwani tofauti ya mama yako na yule mama ni mavazi tu.