Sija ziona na wala sijasikia issue yoyoyte na niko hapa mjini kati labda nifatilie nikizipata nitakujuza...
mi nilikuwa upande ule wa Stanbic.......basi jumamosi tutafanikisha kila kitu......
Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM

Tena uendawazimu mkubwa udiwani hata katibu wa wilaya angeiweza hiyo kazi
Chama
Gongo la mboto DSM
Jamani sisi tulio nje ya Arusha chama hakijatufanyia mpango wowote wa usafiri wa kufika huko?
Tena uendawazimu mkubwa udiwani hata katibu wa wilaya angeiweza hiyo kazi
Chama
Gongo la mboto DSM
Ukweli husemwa:
Huko Arusha kuna nini?. Kila kukicha mikutano ya kisiasa. Mbona hata viongozi wa CDM wanaonekana kama hawana uhakika wa kisiasa na wananchi wa mkoa huu. Mimi nilifikili ni Ngome Kuu ya CDM au ndo yale ya Watanzania kuwa 'fickly' kisiasa.
Call it a political battlefield. Inaonekana kama vile Arusha hakieleweki.
jiunge na cuf au magamba ndo wabebaji watu sie miguu hadi kieklewekeJamani sisi tulio nje ya Arusha chama hakijatufanyia mpango wowote wa usafiri wa kufika huko?