Dr. Slaa kupanda kizimbani leo

Dr. Slaa kupanda kizimbani leo

Kesi yake ya kuzini na wake za watu vipi?

We, achakumuonea wivu yule mama, nawe utapata wako tu, inakuwaje mwanaume unamwonea wivu mwanamke alieibiwa na mwanaume, nnamashaka na wewe kwamba sio mwanaume. Wewe ni toto la kiume!!.
 
mnyama k
nawasiwasi sana na hio K.maana huachi kunitajia neno CHEMBA.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wa bure.Mtoa mada jifunze kuandika vizuri. Ungeamdika "Dr. Slaa kutoa ushahidi mahakamani" na sio "Dr. Slaa kupanda kizimbani" take that!!


BP
Huyo mleta post atakuwa amequote kwenye heading ya hiyo habari, kutoka kwenye gazeti husika.

Si unajua wahariri wa magazeti wanavyojua 'kuwaingiza mjini' wateja wao ili wanunue kwa wingi magazeti yao?

Sio magazeti ya udaku tu yanayokuwa na headlines zinazokuwa tofauti sana na contents za kilichomo kwenye magazeti yenyewe, bali hata yale magazeti tunayoyaita kuwa serious, nayo yamejiingiza kwenye 'kaugonjwa' hako hako!

Si unajua tena kutaja jina la Rais mtarajiwa, tena kwa issue sensitive kama hiyo ya 'kupandishwa' kizimbani, Mhariri hapo atakua na uhakika wa kuongeza mauzo ya gazeti lake la siku hiyo, hata kwa mara 5 zaidi!
 
Back
Top Bottom