mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,846
Ni kweli,
Atagombea karatu ya Rwanda.
Hata wanyama wanataka mabadiriko lkn ww kubwa zima unaleta umbea hapa
Ni kweli,
Atagombea karatu ya Rwanda.
Acheni kuweka upuuzi wenu humu.Jamani wana jamvi je uvumi huu ni wa kweli kuhusu Slaa kugombea Karatu kwa tiket ya CCM? naomba mnijelishe tafadhali
Umebug Men,. Unafikiri Slaa Ana Mawazo Finyu Kama Yako,. Wakati Anategemea Kuwa 'Waziri Wa Mambo Ya Ndani Na Ushirikiano Wa Kimataifa.' Aende CCM Ajimalize We Vipi.
NI KWELI HUYO MGOMBEA WA UBUNGE KARATU KWA TIKETI YA CCM ANAITWA DR WILBAD SLAA LORI sio DR WILBROAD SLAA WA CHADEMA WANAFANANA MAJINA
Hivi we mama unataka tuamini dunia nzima mwenye jina la SLAA ni huyo kasisi tu akitokea mwingine ni muongo na anataka ujiko.
Yeye ni Dr Wilbard Lori ni Mshauri wa Mheshimiwa Rais katika masuala ya Chakula na Lishe. Huyu mwana CCM ameamua kujitambulisha kama Dr Wilbard Slaa Lori na lengo lake la kufanya hivyo haliko wazi, ila nahisi ni branding kutumia jina SLAA. Wasomaji inabidi tutofautishe kati ya Dr Wilbard Slaa Lori (CCM) na Dr Wilbord Slaa (CHADEMA). CCM walimteua huyuhuyu mwaka 2010 lakini wananchi wakamkataa wakachagua mgombea wa Chadema. Nadhani CCM wanamteua makusudi ili kuwachanganya wananchi wa Karatu siku ya uchaguzi.
Rejea: https://www.jamiiforums.com/uchaguz...le-ya-dr-wilbard-slaa-wa-jimbo-la-karatu.html
Hivi we mama unataka tuamini dunia nzima mwenye jina la SLAA ni huyo kasisi tu akitokea mwingine ni muongo na anataka ujiko.