Dr. Slaa kesho atasema nini?

Dr. Slaa kesho atasema nini?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Sisi wote ni wanafunzi na wahanga wa Dr. Slaa kifikra na kisiasa. Dr. Slaa umetufundisha watanzania wote kuwa CCM haifai na ndio chanzo cha ufisadi, ubadhilifu, wizi, matumizi mabaya na sera mbaya zisizotekelezaka na zilizosababisha maisha ya watanzania kuwa mabaya. Ukiwa na wenzako wa chadema kwa kutumia kampeni za sangara, M4C, redio na tv, ulitufundisha kuikataa CCM na tulikuelewa vizuri, tuliamini na tukafanya hivyo kwa moyo, kwa nguvu na kwa akili zetu zote. Wewe ndiye uliyesababisha taifa lote liichukie na kuikataa CCM kwa moyo na nguvu zote, watu wameshalielewa somo lako kuhusu ubaya wa CCM kwetu. Ulitufungua akili tuliokuwa hatujui siasa za chama cha CCM. Tulifanya hivyo kwakuamini kwamba wewe ni msomi mzuri na mtumishi wa Mungu husemi uongo na utakuwa umefanya utafiti mzuri kuhusu uhusiano uliyopo kati ya maisha ya watanzania na sera, utekelezaji wa sera na utawala wa CCM. Uliamsha hamasa na ari ya watanzania katika siasa na kufikiri juu ya maisha yao. Sasa tumeelimika sana kupitia wewe na wenzako wa chadema kuhusu ubaya wa CCM kwetu na kwa taifa, watu hawataki tena kusikia habari za CCM mitaani na maofisini. Ahsante sana baba!

Sasa wafuasi wako tumeanza kushikwa na butwaa kubwa kukuona wewe tena unakipigia debe CCM kiendelee kubakia madarakani!!!!@***&.com???. Hapa kuna mawili, ama wewe unataka kutugeuza sisi kichwa chini miguu juu, au wewe ndo umegeuka mwenyewe kichwa chini miguu juu. Tunajiuliza nini kimetokea kwa mwalimu wetu Dr. Slaa hadi kufanya hivi? Kama shida ni Lowassa kuhamia chadema basi hata wewe hukupaswa kuwa na uhalali wa kukilaumu CCM kwa ufisadi, ubadhilifu na huduma mbovu kwa wananchi, badala yake ulipaswa kuwalaumu viongozi waliotokana na CCM tu peke yake wasiofanya vizuri na sio chama chote cha CCM kuwa hakifai. Vinginevyo wewe ulikuwa katibu mkuu wa chadema hivyo ungeweza kuhakikisha kuwa rais (Lowassa) anayetokana na chama cha chadema angeongoza nchi kwa mujibu wa kanuni, taratibu na maadili ya chadema tu basi. Hivyo ukiwa kama katibu mkuu wa chadema hukuwa na sababu za msingi za kumuogopa Lowassa 'fisadi' kuhamia chadema au kugombea urais kupitia chadema maana chama chini ya katibu mkuu (wewe) kingemnyoosha na kumfanya kuongoza nchi kwa mujibu wa chadema. Kama hili limeshindikana kwako na kwa chadema kwanini ulitaka hili liwezekane kwa CCM? Ulikuwa unatudanganya kuhusu ubaya wa CCM? Ulipaswa kuwalaumu viongozi na watendaji wabaya wa CCM na sio chama cha CCM chote kama chama. Unapaswa kuwaomba samahani CCM hadharani kwa kukisema chama chao vibaya badala ya kumsema mwanachama/kiongozi wa CCM ambaye ni mwizi, mbadhilifu, fisadi, n.k, pili, uwaombe radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu ubaya wa CCM kama chama.

Kama wewe ukishindwa kuyafanya haya yote mawili kwapamoja taifa hili litakuwa juu ya kichwa chako kwa kuliyumbisha na kutaka kulipasua vipande. CCM wanafunzi wako tunakuona kama mwalimu usiyekuwa na msimamo, uliyehongwa, mwenye ubinafsi wa kuwa rais kwa gharama yoyote, unayependa porojo, usiyependa maamuzi ya pamoja ndani ya chama, mpotoshaji, muongo, usiyejali wafuasi na familia yako, na usiyefaa kusikilizwa tena na watu wenye shida za maisha kama sisi. Hatujui kesho tena utasema nini, utakuwa wapi na nani. Kwaheri huwaminiki mzee!!!
 
Asiishie tu kuongelea ufisadi wa Lowassa, bali pia atuelezee ni nani Archtect wa uuzaji wa nyumba za serikali hadi kusababisha baadhi ya watendaji wakubwa serikalini wanakosa nyumba na kulala mahotelini kwa gharama za kodi wa WAPUMBAVU na MALOFA wa nchi hii.
 
Hamna atakachoongea ambacho kita mek sense koz watanzania washamuelewa ni mtu wa namna gani kwenye siasa hizi za sasa. Ameamua kutumika basi wacha atumike. Mwisho wakishamchoka watampotezea na maisha yataendelea na atakuwa hajazuia ufisadi wowote
 
huyu dr.mihogo kwa nafasi yake aliyokuwa nayo alikuwa na nafasi aidha ya kukataa kumkaribisha Lowasa ndani ya cdm hata kumkataa kuwa mgombea ndani ya cdm kwa wadhifa wake kama katibu mkuu, hata kwa ushawishi wake ndani ya vikao vya maamuzi,

cha kushangaza eti ni yeye aliyemposa lowasa kupitia kwa mshenga(gwajima) inasemekana alitumia ushawishi wake kuwalainisha wenzie ndani ya chama wakubali,

inasemekana mwenyekiti alikataa kata kata, baadaye dr. mihogo akamshawishi akakubali leo anakuja na drama za kipuuzi anadhani sisi wananchi ni marobot tunaendeswa na remote,

hakika tulimwamini dr. na tulimsikiliza, tulimpemnda lakini kwa hili kwa haturudi nyuma
 
Slaa kwanza ni Mdini aliepitiliza, Pili amevuta kiasi kikubwa sana kutoka CCM na hili linathibitishwa na Josephine kuwa wamepata mtaji wa kuanzisha mahospitali na shule kibao ... Haihitaji akili ya ziada kujua kuwa Slaa alikuwa analindwa na system ya CCM ... TV zote zililipiwa na CCM .. akina Mwakyembe walikuwa wanampa sapoti tu .. Mzee sasa hivi ana mkwanja wa kutosha ..
Sisi wote ni wanafunzi na wahanga wa Dr. Slaa kifikra na kisiasa. Dr. Slaa umetufundisha watanzania wote kuwa CCM haifai na ndio chanzo cha ufisadi, ubadhilifu, wizi, matumizi mabaya na sera mbaya zisizotekelezaka na zilizosababisha maisha ya watanzania kuwa mabaya. Ukiwa na wenzako wa chadema kwa kutumia kampeni za sangara, M4C, redio na tv, ulitufundisha kuikataa CCM na tulikuelewa vizuri, tuliamini na tukafanya hivyo kwa moyo, kwa nguvu na kwa akili zetu zote. Wewe ndiye uliyesababisha taifa lote liichukie na kuikataa CCM kwa moyo na nguvu zote, watu wameshalielewa somo lako kuhusu ubaya wa CCM kwetu. Ulitufungua akili tuliokuwa hatujui siasa za chama cha CCM. Tulifanya hivyo kwakuamini kwamba wewe ni msomi mzuri na mtumishi wa Mungu husemi uongo na utakuwa umefanya utafiti mzuri kuhusu uhusiano uliyopo kati ya maisha ya watanzania na sera, utekelezaji wa sera na utawala wa CCM. Uliamsha hamasa na ari ya watanzania katika siasa na kufikiri juu ya maisha yao. Sasa tumeelimika sana kupitia wewe na wenzako wa chadema kuhusu ubaya wa CCM kwetu na kwa taifa, watu hawataki tena kusikia habari za CCM mitaani na maofisini. Ahsante sana baba!

Sasa wafuasi wako tumeanza kushikwa na butwaa kubwa kukuona wewe tena unakipigia debe CCM kiendelee kubakia madarakani!!!!@***&.com???. Hapa kuna mawili, ama wewe unataka kutugeuza sisi kichwa chini miguu juu, au wewe ndo umegeuka mwenyewe kichwa chini miguu juu. Tunajiuliza nini kimetokea kwa mwalimu wetu Dr. Slaa hadi kufanya hivi? Kama shida ni Lowassa kuhamia chadema basi hata wewe hukupaswa kuwa na uhalali wa kukilaumu CCM kwa ufisadi, ubadhilifu na huduma mbovu kwa wananchi, badala yake ulipaswa kuwalaumu viongozi waliotokana na CCM tu peke yake wasiofanya vizuri na sio chama chote cha CCM kuwa hakifai. Vinginevyo wewe ulikuwa katibu mkuu wa chadema hivyo ungeweza kuhakikisha kuwa rais (Lowassa) anayetokana na chama cha chadema angeongoza nchi kwa mujibu wa kanuni, taratibu na maadili ya chadema tu basi. Hivyo ukiwa kama katibu mkuu wa chadema hukuwa na sababu za msingi za kumuogopa Lowassa 'fisadi' kuhamia chadema au kugombea urais kupitia chadema maana chama chini ya katibu mkuu (wewe) kingemnyoosha na kumfanya kuongoza nchi kwa mujibu wa chadema. Kama hili limeshindikana kwako na kwa chadema kwanini ulitaka hili liwezekane kwa CCM? Ulikuwa unatudanganya kuhusu ubaya wa CCM? Ulipaswa kuwalaumu viongozi na watendaji wabaya wa CCM na sio chama cha CCM chote kama chama. Unapaswa kuwaomba samahani CCM hadharani kwa kukisema chama chao vibaya badala ya kumsema mwanachama/kiongozi wa CCM ambaye ni mwizi, mbadhilifu, fisadi, n.k, pili, uwaombe radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu ubaya wa CCM kama chama.

Kama wewe ukishindwa kuyafanya haya yote mawili kwapamoja taifa hili litakuwa juu ya kichwa chako kwa kuliyumbisha na kutaka kulipasua vipande. CCM wanafunzi wako tunakuona kama mwalimu usiyekuwa na msimamo, uliyehongwa, mwenye ubinafsi wa kuwa rais kwa gharama yoyote, unayependa porojo, usiyependa maamuzi ya pamoja ndani ya chama, mpotoshaji, muongo, usiyejali wafuasi na familia yako, na usiyefaa kusikilizwa tena na watu wenye shida za maisha kama sisi. Hatujui kesho tena utasema nini, utakuwa wapi na nani. Kwaheri huwaminiki mzee!!!
 
Dr Slàa ameamua kulamba matapishi yake mwenyewe. Siku zote ameikandia Ccm kama ndio chanzo cha ufukara na umaskini wa watanzania. Lakini sasa anataka watanzania wairudishe ccm madarakani tena!!!
 
Ndipo ujue Tanzania si kama nchi nyingine. Mapinduzi Tanzania yatakwenda na mtu. Hii nchi imeshinda. Ha! Mtu upigane hadi kunusa ushindi ugeuke 180% kwa sababu ya....nini?
Nadhani njaa, ukosefu wa elimu, mdomo-mdomo na porjo, uwezo mdogo a Wtanzania walio wengi wa kkbukana kuzgatia......vyote hiyovinachangia kuifanya NJI hii kuwa tofuti na ulimwengu.
 
Sisi wote ni wanafunzi na wahanga wa Dr. Slaa kifikra na kisiasa. Dr. Slaa umetufundisha watanzania wote kuwa CCM haifai na ndio chanzo cha ufisadi, ubadhilifu, wizi, matumizi mabaya na sera mbaya zisizotekelezaka na zilizosababisha maisha ya watanzania kuwa mabaya. Ukiwa na wenzako wa chadema kwa kutumia kampeni za sangara, M4C, redio na tv, ulitufundisha kuikataa CCM na tulikuelewa vizuri, tuliamini na tukafanya hivyo kwa moyo, kwa nguvu na kwa akili zetu zote. Wewe ndiye uliyesababisha taifa lote liichukie na kuikataa CCM kwa moyo na nguvu zote, watu wameshalielewa somo lako kuhusu ubaya wa CCM kwetu. Ulitufungua akili tuliokuwa hatujui siasa za chama cha CCM. Tulifanya hivyo kwakuamini kwamba wewe ni msomi mzuri na mtumishi wa Mungu husemi uongo na utakuwa umefanya utafiti mzuri kuhusu uhusiano uliyopo kati ya maisha ya watanzania na sera, utekelezaji wa sera na utawala wa CCM. Uliamsha hamasa na ari ya watanzania katika siasa na kufikiri juu ya maisha yao. Sasa tumeelimika sana kupitia wewe na wenzako wa chadema kuhusu ubaya wa CCM kwetu na kwa taifa, watu hawataki tena kusikia habari za CCM mitaani na maofisini. Ahsante sana baba!

Sasa wafuasi wako tumeanza kushikwa na butwaa kubwa kukuona wewe tena unakipigia debe CCM kiendelee kubakia madarakani!!!!@***&.com???. Hapa kuna mawili, ama wewe unataka kutugeuza sisi kichwa chini miguu juu, au wewe ndo umegeuka mwenyewe kichwa chini miguu juu. Tunajiuliza nini kimetokea kwa mwalimu wetu Dr. Slaa hadi kufanya hivi? Kama shida ni Lowassa kuhamia chadema basi hata wewe hukupaswa kuwa na uhalali wa kukilaumu CCM kwa ufisadi, ubadhilifu na huduma mbovu kwa wananchi, badala yake ulipaswa kuwalaumu viongozi waliotokana na CCM tu peke yake wasiofanya vizuri na sio chama chote cha CCM kuwa hakifai. Vinginevyo wewe ulikuwa katibu mkuu wa chadema hivyo ungeweza kuhakikisha kuwa rais (Lowassa) anayetokana na chama cha chadema angeongoza nchi kwa mujibu wa kanuni, taratibu na maadili ya chadema tu basi. Hivyo ukiwa kama katibu mkuu wa chadema hukuwa na sababu za msingi za kumuogopa Lowassa 'fisadi' kuhamia chadema au kugombea urais kupitia chadema maana chama chini ya katibu mkuu (wewe) kingemnyoosha na kumfanya kuongoza nchi kwa mujibu wa chadema. Kama hili limeshindikana kwako na kwa chadema kwanini ulitaka hili liwezekane kwa CCM? Ulikuwa unatudanganya kuhusu ubaya wa CCM? Ulipaswa kuwalaumu viongozi na watendaji wabaya wa CCM na sio chama cha CCM chote kama chama. Unapaswa kuwaomba samahani CCM hadharani kwa kukisema chama chao vibaya badala ya kumsema mwanachama/kiongozi wa CCM ambaye ni mwizi, mbadhilifu, fisadi, n.k, pili, uwaombe radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu ubaya wa CCM kama chama.

Kama wewe ukishindwa kuyafanya haya yote mawili kwapamoja taifa hili litakuwa juu ya kichwa chako kwa kuliyumbisha na kutaka kulipasua vipande. CCM wanafunzi wako tunakuona kama mwalimu usiyekuwa na msimamo, uliyehongwa, mwenye ubinafsi wa kuwa rais kwa gharama yoyote, unayependa porojo, usiyependa maamuzi ya pamoja ndani ya chama, mpotoshaji, muongo, usiyejali wafuasi na familia yako, na usiyefaa kusikilizwa tena na watu wenye shida za maisha kama sisi. Hatujui kesho tena utasema nini, utakuwa wapi na nani. Kwaheri huwaminiki mzee!!!

unaakili lkn hazikusaidii kufikiri unawezaje kumtenganisha liwasa na ccm au kwa vile saiv ni lowasa ni mgombea binafsi wa chadema. Slaa akimtuhumu lowasa ni sawa na kuituhumu ccm LOWASA NI FISADI KAMA MAFISAD WENGINE WALIOKO CCM
 
Taifa liko njia panda, linahitaji kuwa na rais haraka iwezekavyo. Kama CCM haifai na Lowassa hafai kwa mujibu wa Dr. Slaa na wenzake, atuambie watanzania sasa ni nani anafaa ili tumpe kura zetu? hawezi kutuambia CCM inafuga mafisadi na Lowassa hafai bila kusema categorically nani anafaa sasa kuchaguliwa wa kutoka chama gani. Huu ndio ubaya uliokithiri wa Dr. Slaa kwa taifa, analichanganya taifa yeye pamoja na Mushumbusi kwa faida binafsi. Mtu kama huyu lazima adhibitiwe na kupuuzwa kwa nguvu zetu zote maana hafai hata kidogo, hafai kwa CCM, UKAWA wala kwa taifa. Anasababisha taifa likose muelekeo kwa uchu wake wa madaraka na fedha. Yeye kashatembea nchi nzima akiambia watu kuwa CCM haifai kabisaaaaa, ni wezi, mafisadi na wana sera zisizotekelezeka hadi akadai CCM waliiba kura zake 2010 na akashindwa kumtambua rais JK kama mshindi halali. Leo mtu huyuhuyu kwa muda mfupi huuhuu anasema Lowassa hafai huku akijua kuwa Lowassa anawakilisha vyama vinavyounda UKAWA vyenye wafuasi wengi sana pia kama ilivyo kwa CCM. Anawaweka wananchi na taifa njia panda, tusimchekee huyu mtu mroho, anaweza kusababisha maafa makubwa mwaka huu 2015. Anagonganisha CCM na UKAWA zenye wafuasi wengi sana katika taifa hili kwasasa, nini malengo yake ya muda mfupi, kati na muda mrefu? Yeye ndiye aliyesababisha wananchi wengi hasa vijana hawaipendi CCM, na sasa anasababisha wanachama wa CCM wawachukie wafuasi wa ukawa na lowassa wao, kwanini taifa limuache awe huru mtu kama huyu?
 
unaakili lkn hazikusaidii kufikiri unawezaje kumtenganisha liwasa na ccm au kwa vile saiv ni lowasa ni mgombea binafsi wa chadema. Slaa akimtuhumu lowasa ni sawa na kuituhumu ccm LOWASA NI FISADI KAMA MAFISAD WENGINE WALIOKO CCM

Lowassa ni wa kuogopwa kama ukoma, ni fisadi mzoefu wa tangu enzi za mwalimu, mwaka 1992 wakati ni mkuu wa kitengo cha maafa ofisi ya waziri mkuu alilamba pesa yote waliyokuwa wakicgangia watu kwa ajili ya mafuriko yaliyotokea Lindi na Mtwara na kuwaaca watu wa Lindi na Mtwara wakikosa pa kujihifadhi. Alipokuwa waziri wa ardhi, alijitwaalia maeneo mengi ikiwa ni pamoja na ku-revoke hati za watu kwa kisingizio kwamba eneo linatakiwa kwa matumizi ya serikali, (Amglikana walishakumbwa na kadhia hii): Hii ya richmond kimekuwa kama kibwagizo tu verse ziko nyingi sana.
 
huyu dr.mihogo kwa nafasi yake aliyokuwa nayo alikuwa na nafasi aidha ya kukataa kumkaribisha Lowasa ndani ya cdm hata kumkataa kuwa mgombea ndani ya cdm kwa wadhifa wake kama katibu mkuu, hata kwa ushawishi wake ndani ya vikao vya maamuzi,

cha kushangaza eti ni yeye aliyemposa lowasa kupitia kwa mshenga(gwajima) inasemekana alitumia ushawishi wake kuwalainisha wenzie ndani ya chama wakubali,

inasemekana mwenyekiti alikataa kata kata, baadaye dr. mihogo akamshawishi akakubali leo anakuja na drama za kipuuzi anadhani sisi wananchi ni marobot tunaendeswa na remote,

hakika tulimwamini dr. na tulimsikiliza, tulimpemnda lakini kwa hili kwa haturudi nyuma

dr aliamua kukaa kimya mfanye kempeni zenu kwa amani ila kwa upotoshaji kama huu wa maksudi lazima asema na akisema ukweli haunaga nusu lazima unaumiza upande mmoja, mnaanza kulalamika
 
Dr slaa ameshapoteza credibility yake na hata akijiunga na team campaign ya CCM ni vigumu sana kubadilisha watu mawazo,mtu yeyote mwenye uchungu na nchi hii anachohitaji kwa sasa ni mabadiliko,either positive or negative,but kikubwa ni kuondoa kwanza mtandao wa CCM ambayo ndani ya miaka 50 haijaweza kutuvusha,then from there ndo tutaanza kushikana mashati,so kukimbia kwa watu waliokufanya kilema kwa kukupiga mabomu hii ni fedhea wa sisi watanzania,leo kwenda kukaa hotel ya serena ndo umeona umefika na ua on top of the world,nimejaribu kukutafakari sana,nikagundua hata uapdri ulikuwa unatoa siri za waumini wanapokuja kuungama,ila baba wa taifa alishasema dhambi ya uasi ni mbaya sana na itakutafuna hadi mwisho,umeshindwa upadri ukaoa ukamkimbia sasa unaishi na awara,ulianza ccm ukashindwa ukaja chadema leo umekimbia kote,sasa kilichobaki kwako ni kitu gani?urudie upadri au ukae kimya
 
Wewe Mboye ana hela kabla wewe haujazaliwa. Hata nyumba ya Wilbroad ni Mboye kamhengea. Jamani msimuite Dr, hakuna Dr kama huyo na hamfungwi na sheria yoyote.
 
Sisi wote ni wanafunzi na wahanga wa Dr. Slaa kifikra na kisiasa. Dr. Slaa umetufundisha watanzania wote kuwa CCM haifai na ndio chanzo cha ufisadi, ubadhilifu, wizi, matumizi mabaya na sera mbaya zisizotekelezaka na zilizosababisha maisha ya watanzania kuwa mabaya. Ukiwa na wenzako wa chadema kwa kutumia kampeni za sangara, M4C, redio na tv, ulitufundisha kuikataa CCM na tulikuelewa vizuri, tuliamini na tukafanya hivyo kwa moyo, kwa nguvu na kwa akili zetu zote. Wewe ndiye uliyesababisha taifa lote liichukie na kuikataa CCM kwa moyo na nguvu zote, watu wameshalielewa somo lako kuhusu ubaya wa CCM kwetu. Ulitufungua akili tuliokuwa hatujui siasa za chama cha CCM. Tulifanya hivyo kwakuamini kwamba wewe ni msomi mzuri na mtumishi wa Mungu husemi uongo na utakuwa umefanya utafiti mzuri kuhusu uhusiano uliyopo kati ya maisha ya watanzania na sera, utekelezaji wa sera na utawala wa CCM. Uliamsha hamasa na ari ya watanzania katika siasa na kufikiri juu ya maisha yao. Sasa tumeelimika sana kupitia wewe na wenzako wa chadema kuhusu ubaya wa CCM kwetu na kwa taifa, watu hawataki tena kusikia habari za CCM mitaani na maofisini. Ahsante sana baba!

Sasa wafuasi wako tumeanza kushikwa na butwaa kubwa kukuona wewe tena unakipigia debe CCM kiendelee kubakia madarakani!!!!@***&.com???. Hapa kuna mawili, ama wewe unataka kutugeuza sisi kichwa chini miguu juu, au wewe ndo umegeuka mwenyewe kichwa chini miguu juu. Tunajiuliza nini kimetokea kwa mwalimu wetu Dr. Slaa hadi kufanya hivi? Kama shida ni Lowassa kuhamia chadema basi hata wewe hukupaswa kuwa na uhalali wa kukilaumu CCM kwa ufisadi, ubadhilifu na huduma mbovu kwa wananchi, badala yake ulipaswa kuwalaumu viongozi waliotokana na CCM tu peke yake wasiofanya vizuri na sio chama chote cha CCM kuwa hakifai. Vinginevyo wewe ulikuwa katibu mkuu wa chadema hivyo ungeweza kuhakikisha kuwa rais (Lowassa) anayetokana na chama cha chadema angeongoza nchi kwa mujibu wa kanuni, taratibu na maadili ya chadema tu basi. Hivyo ukiwa kama katibu mkuu wa chadema hukuwa na sababu za msingi za kumuogopa Lowassa 'fisadi' kuhamia chadema au kugombea urais kupitia chadema maana chama chini ya katibu mkuu (wewe) kingemnyoosha na kumfanya kuongoza nchi kwa mujibu wa chadema. Kama hili limeshindikana kwako na kwa chadema kwanini ulitaka hili liwezekane kwa CCM? Ulikuwa unatudanganya kuhusu ubaya wa CCM? Ulipaswa kuwalaumu viongozi na watendaji wabaya wa CCM na sio chama cha CCM chote kama chama. Unapaswa kuwaomba samahani CCM hadharani kwa kukisema chama chao vibaya badala ya kumsema mwanachama/kiongozi wa CCM ambaye ni mwizi, mbadhilifu, fisadi, n.k, pili, uwaombe radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu ubaya wa CCM kama chama.

Kama wewe ukishindwa kuyafanya haya yote mawili kwapamoja taifa hili litakuwa juu ya kichwa chako kwa kuliyumbisha na kutaka kulipasua vipande. CCM wanafunzi wako tunakuona kama mwalimu usiyekuwa na msimamo, uliyehongwa, mwenye ubinafsi wa kuwa rais kwa gharama yoyote, unayependa porojo, usiyependa maamuzi ya pamoja ndani ya chama, mpotoshaji, muongo, usiyejali wafuasi na familia yako, na usiyefaa kusikilizwa tena na watu wenye shida za maisha kama sisi. Hatujui kesho tena utasema nini, utakuwa wapi na nani. Kwaheri huwaminiki mzee!!!

Umeeleza vizuri sana Kavulata.
Hapo kabla alitufundisha kwamba 1 + 1 = 2 akasema ccm ni majizi ni mafisadi hayafai. Akasema yamefisadi meremeta, richmond, epa, escrow nk.
Leo hii mwalimu huyu amegeuka anatufundisha kwamba 1 + 1 = 1. Eti sasa ichagueni ccm ni safi. Mwalimu wa namna gani huyu?. Nimefanya utafiti na kugundua kwamba lile fundisho la awali ni sahihi yaani 1 + 1 = 2. Mimi nitalifuata lile fundisho la awali na wananchi wengi watalifuata. Hili fundisho la pili la 1 + 1 = 1, abaki nalo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom