Wewe Keil, hujui unaongeaje na unaongea katika hanga hizi. Ni hiari yako, anyway. Lakini jamaa yenu Slaa kwisha bin mufulisi. Karatu hana lolot jipya kaleta. Yaaani hana mpya yoyote. Ataaibika sana na kupoteza umaarufu wake wa bungeni hivi hivi. Chukua maneno yangu. Si kweli kwamba CCM ni mafisadi, ila kuna watu mafisadi ambao wanashughulikiwa squarely right now. Wanachama wa Chadema ni mafisadi zaidi. Yeye mwenyewe Slaa, Mbowe na wenzake wakina Komu just to mention a few. Nitawapa mafile yao soon. Subirini tuanze kampeni. Niwafungue macho yenu muone nyuchi (uchi) zao.
kwanini utushawishi kwamba dr. Slaa hafai kuwa rais ila anafaa kuwa mbunge? Inakuwaje mtu afae kuwa mbunge lakini asifae kuwa rais? Sifa za wagombea wa nafasi hiyo ni zile zile, kasoro umri tu. After all, wewe ni nani mpaka utuambie kwamba hafai? Hoja zako za kum-disqualify dr. Slaa hazina mashiko hata kidogo, sana sana naona ni uzushi.
Mwisho kabisa, naona dr. Slaa ni tishio kwa kikwete na ndio maana umekazana kwamba anafaa akagombee ubunge ili kikwete apate mteremko. Mwaka huu jk ataupata urais kwa jasho, hatapewa kwenye sahani bila kuutolea jasho. Hakuna cha ushindi wa tsunami wala nini.
Duh! I don't know of what happended right now! But I gave all the weaknesses of slaa, Mod have have removed them!. strange as it is! I previoulsy have an idea that JF is a platform where we dare talk openly. I never knew that it is a platfom where Chadema dare talk openly! And for the same reasons, I will never be back on this platform. However, at this juncture, I have no means to convince you that Slaa he is unfit for anything except for MP position. The mass of Tanzania know it all, and we know it all. Keep on dreaming and goodluck
We KN hujuwi kama unakera watu...utafungiwa wewe...shauri yako!
Acha bangi na wewe, afungiwe kwa kosa gani?
Watu wengine mmezoa kulia lia hadi mnaboa sasa. Rudini chekechea kwa vitoto venzenu mkalie lie huko.
Wewe Keil, hujui unaongeaje na unaongea katika hanga hizi. Ni hiari yako, anyway. Lakini jamaa yenu Slaa kwisha bin mufulisi. Karatu hana lolot jipya kaleta. Yaaani hana mpya yoyote. Ataaibika sana na kupoteza umaarufu wake wa bungeni hivi hivi. Chukua maneno yangu. Si kweli kwamba CCM ni mafisadi, ila kuna watu mafisadi ambao wanashughulikiwa squarely right now. Wanachama wa Chadema ni mafisadi zaidi. Yeye mwenyewe Slaa, Mbowe na wenzake wakina Komu just to mention a few. Nitawapa mafile yao soon. Subirini tuanze kampeni. Niwafungue macho yenu muone nyuchi (uchi) zao.
Another Malaria Sugu! May be this is a new kind of disease. Nyie ndo watu mnaopona kwa kula mabaki ya ufisadi unaofanywa na CCM na kuwasahau watanzania mamilioni wanaoteseka kwa umaskini uliosababishwa na CCM. For how long has CCM been in power and we are still talking about poverty? Who brought that poverty in our country? CCM has been in control of the government for almost 50 years and we are among the poorest in the world. What has it been doing for all this time it was in power? Huoni tuu? Una macho ya namna gani hata usitambue kwamba CCM ndo chanzo cha umaskini wa nchi yetu? Yaani CCM mkishakuwa kwenye hayo mashangingi mnasahau kabisa ukweli kwamba kuna watanzania hawana hata mlo wa siku moja. Why cant you accept changes for the betterment of out nation and our people? I bet you are real sick. Probably this is the reason Tanzanians are portrayed as most silly men in East and central Africa. How dare can we defend such foolishness?
Nakwambia wamemwaga hapa kwa fujo ili kueneza sumu yao inayoididimiza Tanzania kimaendeleo. Mtu haoni haya wala kusikia vibaya pale anapopindisha ukweli kwamba CHADEMA ndiyo mafisadi na siyo CCM! Halafu mtu kama huyu anaweza kutamba mbele ya kadamnasi kwamba ana mapenzi ya kweli kwa nchi yetu! Kazi kweli kweli! bado tunasafari ndefu sana ya kuikomboa Tanzania yetu toka mikononi mwa chama fisadi.
Hivi katika zile ahadi za Kikwete katika kampeni yake ya 2005 ya Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya na nitaipitia tena mikataba ya uchimbaji wa madini yetu ambayo imelalamikiwa na Watanzania wengi kwamba haina maslahi kwa Watanzania ili kuhakikisha Watanzania tunafaidika na rasilimali zetu, kishatimiza ahadi ngapi tangu aingie madarakani? Kweli ni chaguo la Mafisadi Oops! la Mungu!
Wewe bwana kiingereza chako kibovu, usiendelee kutoa utumbo wako hapa usiokuwa na maana; wapelekee wasokile wenzio huko kwenu Mwankenja!!
BAK, kama hamfanyi kazi na mnalialia tu, mtaendelea kulia la sana nchii hii. Hakuna mtu atakuja kuwajaza pesa mfukoni muachane na ufukara.
Wenye akili wanazitumia kufanya maendeleo makubwa sana nchii. Kila kitu iko open kwa mtu yoyote. Sasa nyie kaeni mkisubiri ahadi ya maisha bora. Labda mlidhani kuwa hiyo ilikuwa na maana kwamba mtagawana hela za madini na utalii wa nchi hii?!. Haikuwa na maana hiyo. Piga kazi sana uweze kupata utakacho na wakati huo huo unaisadia nchi. Na huko mliko, kumbukeni kuwa kazi ndiyo maendeleo. Siyo kuota kuwa Slaa atakuja kuwadhibiti mafisadi achukue hela zao awapeni. Kamwe.
Wenzenu wako frustrated vibaya sana huko Kenya, Zambia, Malawi na kwingine. Waambie na wenzako.
Du!Duh! I don't know of what happended right now! But I gave all the weaknesses of slaa, Mod have have removed them!. strange as it is! I previoulsy have an idea that JF is a platform where we dare talk openly. I never knew that it is a platfom where Chadema dare talk openly! And for the same reasons, I will never be back on this platform. However, at this juncture, I have no means to convince you that Slaa he is unfit for anything except for MP position. The mass of Tanzania know it all, and we know it all. Keep on dreaming and goodluck
Naomba nitajie japo majina 10 ya hao watu mafisadi ambao wanaoshughulikiwa squarely right now.
Ule ufisadi wa EPA umefikia wapi na waliokwiba zile hela wako wapi? KAGODA iko wapi? Zile za Radar mlipata chenji yenu? Na Chenge + Dr Rashid na yule mhindi aliyekimbilia Uswiss mmeishawapeleka mahakamani? Hii ni mifano michacho sana, sasa niambie hao mafisadi mnaowashughulikia wako wapi na ni akina nani?
Kutwa nzima akina Mh. Sitta wanalia kwamba wanahujumiwa na mafisadi kwa sababu ya Richmond (hao akina Richmond ni wana CCM hao hao). Akina Mwakyembe, Kilango, Lembeli, Selelii, Kimaro, Mwambalaswa, Zambi na wengine kibao walikuwa wanalia kwamba mafisadi wanatuma watu wakagombee kupitia CCM, so mafisadi wakuu wako humo humo CCM na CCM imeshindwa kuwashughulikia kwa kuwa viongozi wa juu wa juu walipata uongozi huo kwa ufisadi. Ndani ya CCM hakuna msafi, wote wanaogelea kwenye tope la uchafu wa ufisadi ndo maana wanaishia kulia na ukiwaambia tutajie, hawataji, maana wanajua wakitaja na wao wataletewa uchafu wao. Kaazi kweli kweli.
Wewe Keil, hujui unaongeaje na unaongea katika hanga hizi. Ni hiari yako, anyway. Lakini jamaa yenu Slaa kwisha bin mufulisi. Karatu hana lolot jipya kaleta. Yaaani hana mpya yoyote. Ataaibika sana na kupoteza umaarufu wake wa bungeni hivi hivi. Chukua maneno yangu. Si kweli kwamba CCM ni mafisadi, ila kuna watu mafisadi ambao wanashughulikiwa squarely right now. Wanachama wa Chadema ni mafisadi zaidi. Yeye mwenyewe Slaa, Mbowe na wenzake wakina Komu just to mention a few. Nitawapa mafile yao soon. Subirini tuanze kampeni. Niwafungue macho yenu muone nyuchi (uchi) zao.
Du!
Hichi Kizungu chako sasa!!
Sisi wa-TZ wababaishaji hata kwenye lugha za watu??
Ndio nimetoka Karatu juzi, haya maneno, ungeyazungumza kule, wangekutia ngeu walahi. hakuna haja ya kuwadanganya watu wakati hujui kinachoendelea kule karatu. Eti Karatu hana lolote jipya!? una hatari wewe!! nakuomba kama huna maneno ya busara katika kufikisha ujumbe wako ni vyema ukakaa kimya.