Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
ukweli ni kwamba, kwa move ambayo chadema wameichukua, wana uwezekano mkubwa wa kutwaa dola, lakini hawatakuwa na maisha marefu katika utawala wao maana tayari wameshakubali kujijenga kwenye msingi mbovu. Tusishangae endapo chadema itaongoza kwa miaka mitano tu na ikawa ndio mwisho wake wa kushika dola. Kwa msingi waliojiwekea, itahitaji muujiza wao kuweza kushinda muhula wa pili. Kuna hatari kubwa sana ya wao kuwa na mpasuko dhariri watakapokuwa madarakani.
Zemarcopolo ishapitwa na wakati zipo YUTONG zinapiga mzigo balaa umetuma post ya kishakinaku sana kajipange kwanza slaa ataendelea kuwa na heshima yake ila wewe ni mwasibu wa chadema?
Hawa wote waliomshirikisha Mungu wanatakiwa watubu! Kwa hiyo leo Lema badala ya kuzomea anamshangilia mtu yule yule ambaye hajabadilika! Siasa kweli zimejaa unafiki.ni heshima kwa mungu kumzomea fisadi kama lowassa by Godbless lemah
Marco polo.jina la kampuni nzuri ya machine za kufua upepo duniani.vipi ulikuwa wapi muda sasa.duhh karibu tena .Ila njoo ukijua atuitaji upepo wa mashine.tayari tuna kimbunga kimeleta na mafuriko .ukawa na LowasaDr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Unatuchanganyia habari, nani kasema Dr katoswa. kilichopo tuliambiwa kwamba anapumzika, taratibu za kiofisi zipo na kama kaonewa achukue hatua. Mwenyekiti wa tume ya katiba aliwahi kusema kwamba yeye binafsi alikuwa muumini wa sirikali moja na wala si serikali tatu kura ikapigwa na wale wa tatu wakashinda ikawalazimu wale wa mbili na wa moja wkubaliane na wenzao waliokuwa wengi. Inawezekana walikuwa wengi wenye wazo kama lake lakini sasa amebaki peke yake, busara imuelekeze kama abaki peke yake, awafuate wenzake au ahame chama. Siku zote ukibaki peke yako uanapungukiwa na nguvu. Sasa hivi kampeni karibu zitaanza. UKAWA wakifanikiwa kwenye kampeni watazidi kumsahau hata kabla ya uchaguzi kufanyika. Ajipe moyo na afanye maamuzi magumu kama mwenzake profesa na awe tayari kwa matokeo kama yatakuwa chanya au hasi.
Zemarcopolo ishapitwa na wakati zipo YUTONG zinapiga mzigo balaa umetuma post ya kishakinaku sana kajipange kwanza slaa ataendelea kuwa na heshima yake ila wewe ni mwasibu wa chadema?
Taarifa hii ya mwaka 2013 hatimaye imetimia...
Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...
Kundi gani bora: shetani mmoja kwenye kundi la watakatifu and mtakatifu mmoja kwenye kundi la mashetaniukweli ni kwamba, kwa move ambayo chadema wameichukua, wana uwezekano mkubwa wa kutwaa dola, lakini hawatakuwa na maisha marefu katika utawala wao maana tayari wameshakubali kujijenga kwenye msingi mbovu. Tusishangae endapo chadema itaongoza kwa miaka mitano tu na ikawa ndio mwisho wake wa kushika dola. Kwa msingi waliojiwekea, itahitaji muujiza wao kuweza kushinda muhula wa pili. Kuna hatari kubwa sana ya wao kuwa na mpasuko dhariri watakapokuwa madarakani.
Chadema wana Taarifa kuwa Membe kupitia madalali wake wa Sinda Nape na makonda wamempatia dollar million 2.5 ingawa Nape na mwenzake walipiga panga hilyo 5 wakafikisha 2 tu ambazo ni sawa na tshs bilion Nne, bilion moja wamegawana wakanunua Nyumba Dubai kwa Ajili ya kukimbilia pindi ukawa wakiingia ikulu. Dr slaa hapo alipo ana Dola million 2 cash ndiyo maana wameacha kumlipa kitu pia kuna Deni kubwa anadaiwa na chama.Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.