Elections 2010 Dr Slaa In Tanga Today

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,367
1,519
WanaJF, nimefanikiwa kupata picha kutoka kwa wadau wa Tanga, Dr Kama kawa yake picha zinaongea zenyewe.

2igg8p5.jpg

2j5jfip.jpg

205a6ht.jpg
 
Hiyo ndo Tanga leo Dr Slaa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa jijini Tanga.
 
Ukutano huo ulifanyika wapi? Alifanya mikutano mingapi tanga? Atafika ITV saa ngapi?
 
duuuh namana hii unasemaje huyu hajashinda ??? nooo i need a break!!!! Yaani mpka Tanga nyomi hivi??Hapa ni pale uwanja wa Tangamano
 
Back
Top Bottom