Dr. Slaa hatimaye aibuka

"DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."
sioni maneno ya dr slaa, Illa nakuona wewe ndio unasema.
 
du hii hatar
 
Mambo yatakaa sawa. Ni imani kuwa Dr Silaa anatumia busara na wala hakuna sababu ya kuweka watu katika tension. ni lazima tumpe nafasi yeye atamaliza yote. Mungu yupo pamoja nae.
 
Tena anachelewa kuondoka maana hatuna muda wa kusubiri mtu mwezake Lipumba ameshaondoka na hakuna aliyemfuata ukombozi wa kuondoa Kaburu ndiyo unaohotajika
 
"DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."

Mijadala ya slaa ilishafungwa ukawa tupo pamoja slaa ni kama tone kwenye bahari.
 
kaa pembeni milele usituletee story zile zile kila siku.lowasa anashida gani huoni jinsi ukawa unavyo zidi kupata nguvu.shida yako wewe slaa ulikuwa unataka urais.kaa mbali kabisa ccm wakununue.
 
Huyumzee ninamuheshimu sana apumzike kwa amanitu.

Asijaribu kuzuiya mafuriko, yata mzoa.
 
"DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."

"DK SLAA amefunguka kwamba ASSADSYRIA3 sio msemaji wake na chochote atakachosema kuhusu yeye ni upoteshaji hivyo tukipuuze mpaka hapo atakapoitisha press conference"
 
Ok twamsubiri
 
kaa pembeni milele usituletee story zile zile kila siku.lowasa anashida gani huoni jinsi ukawa unavyo zidi kupata nguvu.shida yako wewe slaa ulikuwa unataka urais.kaa mbali kabisa ccm wakununue.

Wanaondoka wasafi wanazama wachafu alafu bado unajisifia ..hiyo ndo CCM B mkuu ukubali ukatae
 
Unajua chadema wanadhani kuwa UKAWA ni yao wakati hayo ni makubaliano ya wapinzani!,pili hawakumbuki pia hawajui walio against lowassa,wale wa prof lipumba,na dk slaa ndio watawaangamiza! kutokana na kujichanganya kwao!,tatu,vijana wengi hawawaeshimu wazee na wanawake! hao hakika hawawapi UKAWA (ya lowassa) kura!,bomu la mwisho vijijini watu hawapo tayari kwa utata wa serikali tatu(tishio la muungano!),alafu Watu wanajiuliza CUF ikishinda visiwani,chadema bara! ilani ipi itaongoza nchi! kwa sababu ukawa sio chama cha siasa!
 
Kitu cha msingi CCM iondoke madarakani. CCM imejifanya ina hati miliki ya hii nchi na inapuuza maoni ya wananchi. Unabii wa mwalimu Nyerere ndio unatimia wasione kuna mchawi. Ni muda wa mabadiliko.
 
Tusijidanganye, sumu haionjwi. Kuna faida gani kumpitisha mgombea ambaye mna hakika anakwenda kushindwa endapo kuna mtu hapo jirani ambaye mnaona kabisa kwamba ana uwezo wa kusaidia chama kishinde. CCM iliyokamilika wagombea wote wa UKAWA ukimuondoa Lowassa hakuna anayemuweza Magufuli, ukweli ndiyo huo. Advantage ya Lowassa ni kwamba ametoka CCM na wafuasi, hivyo anapunguza kura za CCM na kuongeza kura za UKAWA. Dr akubali kuungana na wenzake kwani UKAWA wakishinda vyeo viko vingi, asirudie makosa aliyoyafanya profesa atapata aibu, watu wanachotaka ni kuiondoa CCM madarakani kwa kutumia silaha yeyote halali itakayoonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…