Dr. Slaa hatimaye aibuka

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
CHANZO: NIPASHE


Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.

Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:

1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE

2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE

3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
 
Tusha choka Kauli za Dr kila siku atasema, mara natishiwa maisha nikiwa tayari nitazungumza na waandishi Daaaaaa!
Hivi hakuna habari nyingine mpya zaidi ya Slaa. Kwanini wasisubiri mpaka aitishe press ndio waje na habari zake kamili kila kukicha Slaa tumechoka
 
Dr s. Anamaadili na anajitambua..... Kama 2010 mbowe na wabunge wa chadema walitoka bungeni wakidai dr silaa alishinda uchaguzi ila akaibiwa kuraa kwanini safariii hiii asiweze kushindaaa amaa walitudanganyaaa au deal la billion 10 ni la ukweli kwa kamanda wa angaa. Mzee wa mabisinessss
 
Namshauri Dr. APUMZIKE TU.......NI FAIDA KUBWA KWAKE AU AJE BILA MASHARTI
 
Hatutaki unafiki wala umbea tunasubiri kauli yake mwenyewe rasmi hivi mkimwona Dr.Slaa anazindua kampeni za uraisi mtaficha wapi nyuso zenu?
Tuna imani na media zetu, au leo hii hauliamini tena gazeti la Nipashe? Lingekuwa limeamdika Uhuru labda mngesingizia kuwa ni la CCM. au Wambea unaozungumzia ni akina Mbowe, Mnyika na Yeriko Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…