Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,921
- 7,737
That is the only issue you have to capitalize in; you have no any other issue than that. You have learned to hate; that is for some of us [meaning you MWIBA] is your congenital right, and it seems to fit your calibre. From your being proud of being a Zanzibari, to what curse Slaa has from your "GOD" aka "SATAN", and your proud of being a CUF sympathizer; you will learn one day; DUA ZA KUKU HAZIMPATI MWEWE.Wacheni hasira ,narudia tena Slaa hashindi uchaguzi na wala Chadema hawashindi ,tayari vyama rafiki vya Chadema vimemtaka ajiuzulu kutokana na kashfa iliyomkumba.
Nyie mnaomtetea Slaa kwa hili mnakasoro au kwa lugha ingine ni mataahira (samahanini kwa kutumia neno hilo) nikimaanisha ya kwamba hapa JF paliwahi kutolewa picha za Kikwete na hata blogu moja kufungwa ,sababu na mambu ni haya haya ya akina Slaa.Wacheni kumkumbatia Slaa kwani ameshapoteza sifa ya kuwa Raisi ,labda kama mmekusudia kuweka dictetor sawa.
Last; even if Slaa will not win; but he has already done his job; he has shown the nation that he has balls!
Junius,...and di***k to fu***k people's wives...lol!!
Wacheni hasira ,narudia tena Slaa hashindi uchaguzi na wala Chadema hawashindi, tayari vyama rafiki vya Chadema vimemtaka ajiuzulu kutokana na kashfa iliyomkumba.
Nyie mnaomtetea Slaa kwa hili mnakasoro au kwa lugha ingine ni mataahira (samahanini kwa kutumia neno hilo) nikimaanisha ya kwamba hapa JF paliwahi kutolewa picha za Kikwete na hata blogu moja kufungwa ,sababu na mambu ni haya haya ya akina Slaa.Wacheni kumkumbatia Slaa kwani ameshapoteza sifa ya kuwa Raisi ,labda kama mmekusudia kuweka dictetor sawa.
Jasus,Junius,
You ought to be banned for a week for that lol!
Huyu mgombea wa Chadema mheshimiwa Dr W.Slaa hatoweza kuukaribia ushindi kabisa na hapo alipo ni kuanguka kwake kisiasa au kwa lugha ingine tunasema ndio mwisho wake.
Ukiangalia migongano ndani ya Chadema ambayo inawaka kama moto wa makumbi ameshindwa kuiweka sawa ,baada ya uchaguzi huu Chadema itakuwa na wakati mgumu sana ,inaweza kufa au kugawika na zaidi wanachama wake wakuu kwa kuwakusudia viongozi kuhama na kurejea CCM au kujiunga na vyama vingine kama tulivyoona.
Wananchi wengi wameanza kupoteza imani baada ya Dr.Slaa kupita akimnadi mke mpya au tuseme mchumba mpya baada ya kueleza sera amekuwa akizungumzia mambo ya maisha yake binafsi ya kindoa kubwa zaidi kuwa sasa inasemekana ameeiba mke wa mtu au anatembea na mke wa mtu ,yaani hata ile mke akiishi nae hakuwa mke wa ndoa ni kuishi maisha ya kuhurumiana ,jambo ambalo wananchi wengi wameliona kuwa halifai kuwa nalo mtu ambae anaomba Uraisi na kutaka kuwa kiongozi katika nchi yenye watu masikini.
Sasa Dr Slaa yumo katika mbio za kutaka kujisafisha badala ya mbio za kunadi sera ,amepoteza mvuto wa kisiasa na kuwa kivutio wa story za mapenzi na mipasho kwa wale wanaomuona amepoteza dira ,wengi ya wanaohudhuria mikutano huenda kusikiliza muendelezo wa story zake binafsi huku wakishangiria anapomsimamisha huyo mke mtarajiwa. Sielewi wapi tunaelekea.
Maalim Mwiba,
Vyama rafiki vya CHADEMA ni vipi? Maana sijaona chama chochote ambacho kinashirikiana na CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Unatema fyongo tupuHuyu mgombea wa Chadema mheshimiwa Dr W.Slaa hatoweza kuukaribia ushindi kabisa na hapo alipo ni kuanguka kwake kisiasa au kwa lugha ingine tunasema ndio mwisho wake.
Ukiangalia migongano ndani ya Chadema ambayo inawaka kama moto wa makumbi ameshindwa kuiweka sawa ,baada ya uchaguzi huu Chadema itakuwa na wakati mgumu sana ,inaweza kufa au kugawika na zaidi wanachama wake wakuu kwa kuwakusudia viongozi kuhama na kurejea CCM au kujiunga na vyama vingine kama tulivyoona.
Wananchi wengi wameanza kupoteza imani baada ya Dr.Slaa kupita akimnadi mke mpya au tuseme mchumba mpya baada ya kueleza sera amekuwa akizungumzia mambo ya maisha yake binafsi ya kindoa kubwa zaidi kuwa sasa inasemekana ameeiba mke wa mtu au anatembea na mke wa mtu ,yaani hata ile mke akiishi nae hakuwa mke wa ndoa ni kuishi maisha ya kuhurumiana ,jambo ambalo wananchi wengi wameliona kuwa halifai kuwa nalo mtu ambae anaomba Uraisi na kutaka kuwa kiongozi katika nchi yenye watu masikini.
Sasa Dr Slaa yumo katika mbio za kutaka kujisafisha badala ya mbio za kunadi sera ,amepoteza mvuto wa kisiasa na kuwa kivutio wa story za mapenzi na mipasho kwa wale wanaomuona amepoteza dira ,wengi ya wanaohudhuria mikutano huenda kusikiliza muendelezo wa story zake binafsi huku wakishangiria anapomsimamisha huyo mke mtarajiwa. Sielewi wapi tunaelekea.
Wacheni hasira ,narudia tena Slaa hashindi uchaguzi na wala Chadema hawashindi ,tayari vyama rafiki vya Chadema vimemtaka ajiuzulu kutokana na kashfa iliyomkumba.
Nyie mnaomtetea Slaa kwa hili mnakasoro au kwa lugha ingine ni mataahira (samahanini kwa kutumia neno hilo) nikimaanisha ya kwamba hapa JF paliwahi kutolewa picha za Kikwete na hata blogu moja kufungwa ,sababu na mambu ni haya haya ya akina Slaa.Wacheni kumkumbatia Slaa kwani ameshapoteza sifa ya kuwa Raisi ,labda kama mmekusudia kuweka dictetor sawa.
Mapambano,Dr Slaa atatia pengo kubwa kwenye bunge lijalo, atakumbukwa kuwa alikua mtu machachari, mpiga vita ufisadi, lakini Chadema's move ya Slaa kugombea uraisi ilikuwa bado...mchango wake bungeni ulikua bado unaitajika. Huo ndio ukweli wa mambo