gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
watanzania kwa sasa wanafahamu fika kwamba Dr Slaa ni mtu makini sana, hata ccm wakitoa maneno yasio na maana ndivyo wanavyozidi kujidhalilisha uwezi kusema eti Dr ni mwizi wa wake za watu ukategemea eti ni point mabo hayo yamebaki kwa watanzania wachache sana tena wale wenye hakili kama za Nape
Slaa tumaini letu
Mungu mpe maisha marefu Dr. Slaa. Aamiin
watanzania kwa sasa wanafahamu fika kwamba Dr Slaa ni mtu makini sana, hata ccm wakitoa maneno yasio na maana ndivyo wanavyozidi kujidhalilisha uwezi kusema eti Dr ni mwizi wa wake za watu ukategemea eti ni point mabo hayo yamebaki kwa watanzania wachache sana tena wale wenye hakili kama za Nape
huyo babu kisha zeeka na hatuna mpango nae mpango mzima ni zitto
Yeye mwenyewe yakwake yanamshinda....kuoa tu kitu kidogo kachemka....anazini mpaka leo....ataweza kuongoza mamilioni ya watu.
Dr Slaa anasema anachotenda anapinga ufisadi ukimuangalia usoni anamaanisha ukiangalia maisha yake yanathibitisha ni kiongozi wa vitendo na maneno sawa
Kweli Dr. Slaa ndiyo mkombozi Wa watanzania...
Dr Slaa anasema anachotenda anapinga ufisadi ukimuangalia usoni anamaanisha ukiangalia maisha yake yanathibitisha ni kiongozi wa vitendo na maneno sawa
Sema ni mkombozi wangu na si watanzania maana mi ni mtanzania ila Dr slaa si mkombozi wangu
waambie NEC waweke matokeo halisi ya uchaguzi Wa Mwaka 2010 utajua nani rais Wa nchi hii...
waambie NEC waweke matokeo halisi ya uchaguzi Wa Mwaka 2010 utajua nani rais Wa nchi hii...
Hata akishnda au asishnde atansaidia nini mimi au we slaa ndugu yako
Slaa ana mapepo saba, aliyapata baada ya kuuasi upadre...hawezi kuongoza nchi kama hana mawasiliano mazuri na mungu wake...simuhukumu ila aendelee tu na biashara zake na hisa alizowekeza chagadema...lakini naamini pamoja na dr slaa kumuasi mungu bado anaweza kumshauri mwekezaji mkuu ndani ya chagadema yao namaanisha mbowe, waweke akili mpya uongozi mkuu wa cdm hasa kwa hizo nafasi wanazoatamia