Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

Dr.alisema ataanzisha usafiri wa treni ndani ya jiji la Dar es salaam,
 
Kila mtanzania analijua hilo kutoka ndani ya mtima wake. Dr Slaa ndo habari ya mujini.
 
Yeye mwenyewe yakwake yanamshinda....kuoa tu kitu kidogo kachemka....anazini mpaka leo....ataweza kuongoza mamilioni ya watu.
 
huyo babu kisha zeeka na hatuna mpango nae mpango mzima ni zitto
 
Hii post imekuchanganya kweli kweli, maana umekuwa kama Mtanga wa Ze comedy au umetoka leo India!"kishangilia tu bila kutimia akili zao" na bado, mwaka huu hata kichina mtaandika, huku ni kuweweseka tu!
 
Hii post imekuchanganya kweli kweli, maana umekuwa kama Mtanga wa Ze comedy au umetoka leo India!"kishangilia tu bila kutimia akili zao" na bado, mwaka huu hata kichina mtaandika, huku ni kuweweseka tu!
Uvccm viroba vinawaribu sana wale Kamanda wangu
 
huyo babu kisha zeeka na hatuna mpango nae mpango mzima ni zitto

Moja ya sifa ya Urais,ni uvumilivu na kuwa tayari kukosolewa,Zitto uvumilivu umemshinda anaropoka tu" Heri nguo ziraruke,kuliko akili"
 
Dr. Slaa Ni zaidi ya mzalendo tuliyebahatika nchi hii. Ukombozi WA nchi hii unamtegemea Sana... Mungu mbariki Dr. Slaa, Mungu ibariki chadema, Mungu ibariki ukawa
 
Dr Slaa anasema anachotenda anapinga ufisadi ukimuangalia usoni anamaanisha ukiangalia maisha yake yanathibitisha ni kiongozi wa vitendo na maneno sawa
 

Slaa ni kiongozi mwenye maadili sana, from official affairs to personal affairs.. Hata ukiangalia background yake, tofauti na baadhi ya viongozi wetu wa juu kabisa
 
CUF wakiweka mtu makini wataichukua Zenj na kufaidi bara pia
 
Hilo halina ubishi Slaa ndo kiongoz pekee anae ongoza kw kupora wake za watu tz,khs Urais atauckia hivyo hvyo tu,ameshindwa kutekeleza maagano yake na mungu leo anataka awe agano na maraia arudi kanisani akatimize wajibu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…