Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

Kama kuna mtu anawanyima usingizi CCM ni Dr. Slaa! Wanajua kuwa hatakamatika Uchaguzi mkuu ujao!

Naona utakuwa umechanganya majina.

Anayewanyima usingizi viongozi wa CCM kwneye urais mwaka huu ni mtu mmoja tu, Laigwan Edward Lowassa, basi.

Dr Slaa alivyo sasa hawezi msumbua mgombea yoyote wa CCM.
 
Naona utakuwa umechanganya majina.

Anayewanyima usingizi viongozi wa CCM kwneye urais mwaka huu ni mtu mmoja tu, Laigwan Edward Lowassa, basi.

Dr Slaa alivyo sasa hawezi msumbua mgombea yoyote wa CCM.
Pole sana!!
 

Slaa ni Mheshimiwa rais awamu ya tano
 
Aliwaambia hawa waliopatwa na balaa hili kuwa mfuko wa cement ungekuwa 5,000 wakapuuzia, sasa ona kuta za nyumba zao zinabomoka kama biskuti!

 

jivue ubongo wa fisi usimix na kiroba weka wa binadamu huu ni mwaka gani na uchaguzi ulikua ni mwaka gani?
 
Dr Slaa ni Kiongozi pia ana sifa ya Utendaji.


wenye sifa kama Dr Slaa ni wachache sana hapa tanzania, kidogo Lowassa kiutendaji ila hana sifa ya uongozi ulio tukuka kama Dr Slaa.

Nakumbuka Dr Slaa uchaguzi ulio pita wapinzani wake walikuwa hawana madhaifu yake zaidi ya ishu binafsi kama vile ndoa na kadhalika. lakini maswala ya kiutendaji na kiuongozi hakuwa na udhaifu wowote.

Dr Slaa ni niongozi na ni mtendaji mzuri na Alie tukuka.
 
Hahaha hata jakaya anajua lazma ampe kijiti slaa la sivyo ataenda the hague kama gbagbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…