Atajuaje wakati elimu ya kujua hana anayo elimu ya dini tu.Naona Dr.Slaa ameamua kujifariji na kijiliwaza hajui kama ndani ya Chadema kuna kuna wafuasi wa Lowassa.
Atajuaje wakati elimu ya kujua hana anayo elimu ya dini tu.
Naona Dr.Slaa ameamua kujifariji na kijiliwaza hajui kama ndani ya Chadema kuna kuna wafuasi wa Lowassa.
Sina hakika kama hii ni akaunti halisi ya Slaa (PhD) ingawa naunga mkono yote yaliyomo kwenye messageHakuna uoga wowote juu ya Lowassa au CCM kutaka Urais. Wanaosema kuna uoga wanapotosha ukweli. Kuna mshangao tu, kwamba "wana lipi jipya"?
Source😀r Slaa Tweet!
Katibu mkuu Chadema!
Mtu anatishwa na kagenzi tu ije kuwa ccm asitanie kakonda kama stiki anajihami tu.
Hakuna uoga wowote juu ya Lowassa au CCM kutaka Urais. Wanaosema kuna uoga wanapotosha ukweli. Kuna mshangao tu, kwamba "wana lipi jipya"?
Source😀r Slaa Tweet!
Katibu mkuu Chadema!
Dr. Slaa bado unataka kugombea urais?
Hata huyu hapo nyuma tuliambiwa ameadhirika lakini anamaliza! Hakuna asiye Mgonjwa hata wewe!!!!Lowasa nasikia ana ugonjwa wa kusahau,sasa sijui itajuwaje akiwa raisi..
Atajuaje wakati elimu ya kujua hana anayo elimu ya dini tu.
Mtu anatishwa na kagenzi tu ije kuwa ccm asitanie kakonda kama stiki anajihami tu.
Don't judge a book by its cover!Hofu yangu kwa Lowasa akipitishwa na CCM kugombea urais atafanya vurugu za kila aina ili ashinde.Ataua,atahonga sana na kila aina ya uchama ilimradi tu ashinde.Hii ni kwa katika hali ya kawaida hana uwezo wa kushinda kutokana na alivyo chafuka kwa ufisadi.
Kama hamna uoga ambulance linafanya nini hapo ufipani,