Dr. Slaa gombea Uspika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa gombea Uspika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Nov 4, 2010.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kimkakati inawezekana kabisa kwa pamoja kumsaidi DR. Slaa awe Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Hapa ndipo pa kupima uwezo wa wanamkakati wetu wa CHADEMA katika kufanya Lobbying.
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,764
  Likes Received: 4,979
  Trophy Points: 280
  ..kura zitapigwa on party lines.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Na hili ndio tatizo.
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Spika lazima awe mbunge au mtu yeyote mwenye sifa ya kuwa mbunge na atokane na chama cha siasa.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  si chama chake kinaweza kumchagua kwenye lile fungu la wabunge wa upendeleo!
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  sidhani kama CCM watamkubali ukizingatia upinzani hautakuwa na majority bungeni. Ningependa awe tuu mbunge au mwenyekiti wa chama atumie muda huo kufanya grassroot campaigns for 1015.
   
 7. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Even if it's legit, the Dr Slaa (my Slaa) I know would not jump at this kind of mediocrity.
  It will have to take the whole entire planet to persuade him.
   
 8. M

  Msavila JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 404
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hana sababu, sasa ni wakati wa kujenga chamaa hasa kule cCHADEM walikofanya vibaya
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sera ya CCM ni chama kwanza, mtu baadaye kwa hiyo hawatakubali Slaa awe mkubwa wao Bungeni!
   
 10. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  Sio urais tena? CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 11. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  chadema fanyeni uchaguzi kwanza ndani ya chama chenu, na acheni upuuzi wa kuchaguana kiundugu na kinasaba, kama vile mtoto wa ndesamburo, mke wa mboe, mama mkwe wake, mtalaka wa slaa na wengine wengi wameingia ktk uongozi wa juu wa chama mbali na kuwapa kipaumbele familia zao ktk wabunge wa viti maalum!!!

  kama chadema haiwezi kurekebisha kasoro na uchakachuaji wa chaguzi zake, jee, dhamira ya kukosoa tume ya uchaguzi tz wataitoa wapi?
  kama huwezi kusafisha uchafu ulioko chumbani kwako utaweza kusafisha nyumba yote?
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  kumbe hata wewe umeliona hili..
   
 13. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Huwezi kuwa spika mpaka uwe mbunge.
   
 14. B

  Balozi mullar Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio urais tena.ama kweli chadema mna uchu wa madaraka.daah
   
 15. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Dr.Slaa jenga chama chako na nina amini Mbowe atakuachia U N/kiti ili ukiimarishe chama kwani utakuwa na ruzuku ya kutosha.Ila weka wazi kwenye vyombo vya habari vya nje na ndani vielelezo vya wizi wa kura ili utaratibu huo ubadilishwe ili kipindi kijacho SSM ichezeshwe sindimba.Usiende Taifa kushuhudia kuapishwa kwa mtu aliyeiba kura pia usije ukashuhudia atakapoaanguka tena jukwaani.
   
 16. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Aimarishe chama na kufichua njama zote za wizi wa kura.
   
 17. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Lakini hiyo kazi nayo haiweziiii!
  Akiipewa ni vurugu tupu huko ndani.
   
Loading...