Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.
we love dr. Slaa wa ukweli. Mungu mbariki dr. Aishi miaka mingi ibariki tanzania aaameeen.
siyo kila maombi mungu anayapokea, mnafiki kama.slaa mungu hakubali maombi yake, atubu kwanza dhambi ya.kuasi wito, kutelekeza familia na kunyang'anya wake za watu
 
makene kazi unayo, unajiandikia halafu unajiita slaa?
 
anawatakia idd njema waislamu wa jf?
 
Hii itabidi iwekwe kwenye maajabu 7 ya bongo,Dr slaa na uislam au cdm na uislam,sio nyinyi mnaopongeza hapa mwezi mzima mmeutumia hapa jf kuanzisha Uzi za kashfa na kuponda uislam sio nyinyi?
Eti leo wanasifia nakujifanya wanaupendo mno na uislam,huu ni zaidi ya unafiki
 
Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.
 
wapeni nafasi waislamu ndani ya chama ili tuwe na imani na myasemayo otherwise hii ni sawa na kumpaka mtoto uji mdomoni wakati umeunywa wewe
.ina maana hata pasipo na sifa? Hatutaki nafasi kama hizo kamwe! Waislamu ni watanzania kama wengine, wana nafasi sawa ndani ya chama na jamii kiujumla!
 
Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.

chukua like mkuu.. huu ni unafiki mtupu.. watuoneshe mapenzi yao kwa waislam kwa vitendo sio maneno matupu
 
Last edited by a moderator:
siyo kila maombi mungu anayapokea, mnafiki kama.slaa mungu hakubali maombi yake, atubu kwanza dhambi ya.kuasi wito, kutelekeza familia na kunyang'anya wake za watu
..duh, kweli ni mwanadamu kweli wewe? Maana ni zaidi ya unafiki kwa kweli!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…