nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
kiujumla dr. slaa amewavunja moyo sana wale wapenda mabadiliko. watu wanajiuliza ina maana dr. alitaka cdm iendelee kuwa chama cha upinzani mpaka lini?
haa haa leo dr. yuko sahihi. kisa kaanza kusaliti matumaini ya wapenda mabadiliko.
Kama wewe mkuu ninakupongeza kwa kuwakimbia CCM.Tangu neno "kakatwa" liliposhika hatamu na neno hakuna adui wa kudumu lilipoingizwa siasa za Tanzania rasmi watu weeengi walibadilika. . . . . . . .Sikutegemea wewe kuuliza hili
Kama wewe mkuu ninakupongeza kwa kuwakimbia CCM.
mwenye macho haambiwi tazama!.
kwa haya mafuriko CCM jiandaeni kisaikolojia
wenye akili tunajua...watu...matukio...
mitazamo..na falisafa hubadilika kulingana na mahitaji ya wakati....
ukiona majembe ya CCM yanabadilishwa kuwa mapowertiller ya UKAWA usishangae...badili mtazamo...Mwanamama Maya Angelou aliwahi kusema..."kama hukipendi kitu kibadilishe,kama huwezi badili mtazamo....if you don't like something change it,if you can't change it...change your attitude"
acheni ndoto ya watanzania wapenda mabadiliko itimie.....
Tangu uhuru chama tawala ni CCM....rushwa...CCM....Uchumi tegemezi...CCM...ujinga...CCM...maradhi...CCM....umaskini....CCM....ushirikina....CCM...magoli ya mikono kwenye soka....CCM....ubadhilifu na ufisadi wa kila aina.. ni mazao ya utawala dhalimu wa chama cha mapinduzi...kila kitu wamepindua..elimu..kilimo...ardhi...masoko...viwanda...maadili...hakika october 25 mwaka huu ni wapumbavu pekeee watakubali kuzama... viva UKAWA viva...Lowassa!!!
Yupo sahii kivyake La katika itikadi za chama hayupo sahihi atakuwa ni msaliti
CHADEMA haiwezi kufa kwa kuondokewa na wanafiki kama yeye......AMBACHO HAJUI NI KWAMBA WANAOTAKA MABADILIKO NI WATANZANIA NA SIO WANA CHADEMA,.....WAPO PIA WATANZANIA WASIOKUWA NA VYAMA WALIOCHOSHWA SERIKALI DHALIMU YA CCM HIVYO WAMEAMUA KUYAPIGANIA MABADILIKO...TAIFA LITAMKUMBUKA KWA UNAFIKI WAKE DHIDI YA WANA MAGEUZI WALIOJITOLEA KWA DHATI KUYAPIGANIA MABADILIKO............ALAANIWE DK SLAA NA WANANCHI WANAOTESEKA DHIDI YA UONEVU WA SERIKALI YA CCM.....ALAANIWE NA KINA MAMA WAJAWAZITO WANAOJIFUNGUA KWA TABU HUKU WENGINE WAKIPOTEZA MAISHA....ALAANIWE NA WANAVIJIJI WALIODHURUMIWA ARDHI ZAO NA WENGINE KUUWAWA NA WAVAMIZI WANAOJIITA WAWEKEZAJI WALIOPEWA BARAKA NA SERIKALI YA CCM.....ALAANIWE NA WANAFUNZI WA ELIMU YA ELIMU YA JUU WALIONYIMWA MIKOPO KWA MIZENGWE HIVYO KUKATIZA MASOMO YAO.....ALAANIWE NA WAZEE WENZIE WA RAILWAYS WALIODHURUMIWA HAKI ZAO NA SERIKALI YA CCM..........ALAANIWE NA KINA MAMA WANAOTEMBEA UMBALI MREFU KUYATAFUTA MAJI SAFI NA SALAMA....NA WENGINE WAKIISHIA KUBAKWA HUKO NJIANI.......ALAAAAAAAAAAAAAAAAANIWE MILELELEEEEEEEEEE
itikadi ipi hii ya kuuza chama
Nashauri Ndugu Slaa akae kimya tukimaliza uchaguzi yeye achague cheo chochote anachokitaka. Ameitoa Chadema mbali.
Kweli watanzania tunahitaji mabadiriko ,,, mabadiriko chanya kwa hakika.
Hatuamini kama El rafiki wa Rostam, Chenge,Tibaijuka, na wengi wenye sifa mbaya akiwemo Mbowe anaeshutumiwa kwa kukifanya cdm chama cha ukanda,...
Hatumuamini El kutuletea mabadiriko chanya.
Tunaona anatafuta njia ya kuwafurahisha marafiki zake na team yake kwa ujumla.
Amini usiamini team El ni wale wanaotegemea kupata kitu/kupiga through yeye.
Mwaka huu hata likiwekwa jiwe na CCM watu watapigia kura jiwe....amini nakuwambia....labda kama mwenzangu wewe unafaidika na mfumo nyonyaji wa CCM
CUF Ilikosea Kumpa Uongozi, Mtu Ambae Hakuwa Na Familia. CHADEMA Nao Walikosea Kumpa Mtu Uongozi Ambae Upadri Ulimshinda, Akaingia Kwenye Taasi Ya Ndoa, Familia Ikasambaratika, SASA MTU ALIYESHINDWA KUONGOZA FAMILIA YAKE MWENYEWE TAIFA ANGEWEZAJE KULIONGOZA?