Dr. Slaa can win the presidency for the opposition!

This is the problem. Bunch of die hard CCM supporters who, feel they have been isolated after the party take over by Kikwete and company, think they can overnight vote out of power CCM by supporting Chadema. How can the same Chadema which didn't perform well in the last local government election that took place just 11 months ago (another fact), be in position to take over the power from ruling CCM?

:confused2:, kuna kitu unakimaanisha hapa, ngoja nifikirie...!
 
Mimi nampimga huyu Dr. Slaa. He does not seem to me to be mature enough. Halafu kuna matatizo ya uchumi,Tanzania na Rais lazima awe na knowledge of economics,kama Kikwete au Lipumba. Lakini Kikwete anaonekana kwamba amechoka sana,for some inexplicable reason anaonekana amechoka.
Lipumba sijui anafanya nini,kwa vile,so far simwoni katika vyombo vya habari. Nasikia tu ameiteka mioyo ya watu wa Tanga I have not seen any pictures. Hata hivyo,kama Uchaguzi ungekuwa kesho,mimi ningemchagua Lipumba kuwa Rais,na chaguo langu la pili lingekuwa Dr. Slaa----kama Uchaguzi ungekuwa kesho.

Subiri tarehe 31 Oktoba kama kutakuwa na nafasi ya chaguo la pili.
 
Mimi nampimga huyu Dr. Slaa. He does not seem to me to be mature enough. Halafu kuna matatizo ya uchumi,Tanzania na Rais lazima awe na knowledge of economics,kama Kikwete au Lipumba. Lakini Kikwete anaonekana kwamba amechoka sana,for some inexplicable reason anaonekana amechoka.
Lipumba sijui anafanya nini,kwa vile,so far simwoni katika vyombo vya habari. Nasikia tu ameiteka mioyo ya watu wa Tanga I have not seen any pictures. Hata hivyo,kama Uchaguzi ungekuwa kesho,mimi ningemchagua Lipumba kuwa Rais,na chaguo langu la pili lingekuwa Dr. Slaa----kama Uchaguzi ungekuwa kesho.

Ganesh,

Kwa nini unasema Dr. Slaa hajakomaa? Watu wengi wameridhika na uongozi wake kama mpinzani bungeni kwa miaka mingi.

Pia unasema raisi ni lazima awe mjuzi wa uchumi. Viongozi wangapi wanajua economics? Mwalimu Nyerere alikuwa mjuzi wa uchumi? Alikuwa ni kiongozi mzuri. Hata yeye mwenyewe aliwahi kusema siyo mjuzi wa uchumi.

Mandela anajua uchumi? Mbeki ndiye economist.

Sehemu zetu hizi za Afrika Mashariki, sikumbuki raisi yeyote aliyekuwa mjuzi wa uchumi ila mmoja tu, Mwai Kibaki, anayeitwa pia "Mr. Economist" kwa sababu ya ujuzi wake. Ameonyesha anajua economics tangu alipoanza kufundisha Makerere baada ya kumaliza masomo yake Uingereza miaka ya '60s.

Dr. Slaa anaweza kuwa raisi mzuri bila kuwa mjuzi wa uchumi. Mfano mzuri ni Mwalimu Nyerere. Na kuna wengine.
 
Ganesh,Dr. Slaa anaweza kuwa raisi mzuri bila kuwa mjuzi wa uchumi. Mfano mzuri ni Mwalimu Nyerere. Na kuna wengine.

Matokeo yake ya kuwa na marais wasiojua uchumi ndiyo pameifikisha nchi hii hapa ilipo. :mad2:
 
"Kwanza kabisa nawasalimu wana JF mwenzenu ndio nimetoka KARATU JUZI NAISHI JIRANI NA DR Wilbroad Slaa, nimevutiwa sana na ujumbe uliotolewa na Mzee wetu Alhaji A. Mwinyi kwamba tusifanye makosa ya kumchagua Slaa au upinzani, kwa kweli ni kweli tupu kwani pale kanisani alipokuwa anapaongoza pamevurugika, ukoo umesambaratika hawajui anataka mchumba wa aina gani mwenye heshima kama Rose Kamili, lakini wengi wanahoji juu ya mali za kanisa, wengi wasema hata angegombea ubunge safari hii wasingempa amekosa sifa ya maadili , kiongozi lazima awae mfano wa kuigwa kwa tabia na matendo na hasa kauli zake, huyu bwana Slaa atatufikisha pabaya.

Usifanye makosa chagua KIKWETE 2010"

UJUMBE KWA FIKRA SAHIHI

Jamani mwenzetu FIKRASAHIHI ni vyema ukawa mkweli na muungwana HATA KAMA JK NI DAMU-DAMU KWAKO kwani hizo purukshani unazomzulia mwenzio ni zako binafsi. Kanisa la katoliki la Karatu mbona halina taarifa hizo?

Mwenzetu umezitoa wapi au ndiyo mmeanz akuchakachua matokeo?
 
Back
Top Bottom