Dr Slaa keshawajibu nadhani wale wote walioleta na kuchochea upuuzi huo wameshapata jibu na nadhani Mods muizuie thread hii kwa kuwa kuna watu wanatafuta ligi isiyo na maana jamvini. Cha ajabu hapa jf wale wote wanaopinga chadema akina kamende,engmtolera na ligogo ndo wanakuwa wa kwanza kushadadia na kutoa ushauri wa kinafiki. Nashauri ccm mtafute njia nyingine za kuisumbua cdm lakini si kwa upuuzi huu. Kwa njia yoyote ile hamtamuweza dr Slaa kwa kuwa dr.anafanya kila kitu kwa uwazi,na hata mkileta mada zenu za ajabu zinashindwa. Ww ndugu engmtolera,uzushi kama huu alaf unaleta matukio ya kolimba,sokoine n.k ili kuijengea jamii saikolojia mbovu!! Tunawajua wote wasiopenda mazuri yatokee ndo maana wengi mko jf kulinda ufisadi wa waliowatuma. Sijapenda. Tukae pamoja kuijenga Nchi.