Dr. Slaa awapiga bao CHADEMA, walitarajia achukue fomu ili akatwe kama Lowassa kule CCM

Mmeanza tena upuuzi wenu wa 2010. mtajilamba maka.lio mwaka huu.

We unadhani tumeanza? Sie tunamalizia mlipoanzia. Na safari hii tumewagundua mapema kweli, kwa kuwa tumeshajua LOWASA mnamtumia kama KINYAGO cha kusukumia CHAGGA Movement kama mlivyomtumia DR. SLAA na kisha kumtosa kama toilet paper.
 
safari hii waliobaki ccm watabaki huko huko. kampeni watamfanyia Magufuri ili wapate mbogq ya nyumbani lakini octoba25 kula kwa lowasa. NI KUWEKA ADABU KWA WALE WANAOONA CHAMA NI MALI YAO. hii ni sindano ya moto ngoja itibu marafhi.
 
safari hii waliobaki ccm watabaki huko huko. kampeni watamfanyia Magufuri ili wapate mbogq ya nyumbani lakini octoba25 kula kwa lowasa. NI KUWEKA ADABU KWA WALE WANAOONA CHAMA NI MALI YAO. hii ni sindano ya moto ngoja itibu maradhi.
 
Mtatumia sana dhana ya SLAA mkidhani inasaidia kupozq joto kwa ukimya wake kumbe ANAKULA TIMING YA KUWAMALIZA. ATAONGEA tu subiri
 
Kazi ipo mbele yetu ya kusoma mada zisizo eleweka..
Ndoa ya EL na CDM inawatesa sana na kushindwa kupata muelekeo Oct.
Wanandoa ndy wanajiandaa fungate la kuzunguka Bara na Visiwani....

Nimecheka sanaa kwa post yako tamu murua....yaani majirani ndo wanaosema hakuna harusi wakati wenye ndoa wapo kimya na maandalizi ya fungate kweli hii noumaaa....
 
Hivi kama kweli dr slaa bado yuko nasi cdm kuna ugumu gani kujitokeza hadharanii?
 
Wiki iliyopita CHADEMA walifungua milango ya uchukuaji fomu kwa Wanachama wao kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania urais kupitia chama hicho. Huu ni mtego ambao DR. SLAA aliwekewa na endapo angejichanganya tu na kuchukua fomu ANGEKATWA kama ilivyokuwa kwa LOWASSA kule CCM na hapo ingemuwia vigumu kujiondoa CHADEMA kwa kuogopa kuitwa mpenda madaraka. MBOWE na kundi lake wakabaki wameduwaa. Magazeti yakabaki yanaandika "URAIS CHADEMA KAA LA MOTO".

Kuondoka kwa SLAA sasa ni mwiba kwa MBOWE, LOWASSA na CHADEMA kwa ujumla. Kuna uwezekano wa kuwa kama USAJILI FYONGO KABISA kufanywa na CHADEMA, kumuinga LOWASSA na kuondoka SLAA. Sipati picha SLAA anasimama jukwaa tofauti na la CHADEMA kwa ajili ya kuomba au kumnadi mgombea asiye wa CHADEMA huku akitumia agenda ya ufisadi wa Lowassa kama turufu ya kuwauwa wapinzani wake.

Itakuwa haina tofauti na TIMU KAMA REAL MADRID KUMUUZA MCHEZAJI KAMA CHRISTIANO RONALDO KWA MANU HUKU WAKIMCHUKUA MCHEZAJI KAMA ASHLEY YOUNG HALAFU TIMU HIZO ZIKAKUTANA.

kama Liverpool kumuuza Suarez na Kumsajili Baloteli
 
Si mmeshapata majibu kuwa slaa hajaenda popote na wala hana mpango wa kwenda popote.
Bado mnajipa moyo kuwa ataondoka?
 
haaahaaaa du mbavu sina mie heee chama cha mbowe na familia yake hakuna wa kupinga maamuzi

Chagaz wanajaribu kutoka kiivyo,,,

Nalionea huruma kundi la wasiojielewa kwenye kuwapa nguvu wapigaji,,

Kwani watawatosa tu.

Wamewatosa zzk na slaa sembuse mwafilombe wa uyole!
 
Back
Top Bottom