kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
tetesi eti, Dr sasa jimbo la igunga ni lake kwa hivyo kale ka mkakati ka shibuda kutoa nafasi katakuwa basi japo pale igunga Dr atafanya kazi sana kuwashawishi wale wapiga kura.
Wadau hivi kwa alichofanya RA mnafikiri kinatija kwa Taifa na je vp? Kuhusu jimboni kwake wanapomlilia?
kwanza elewa wanalia kwa kutambua rushwa waliyokwa wakipewa na rostam ndo imekoma hivyo, na hako ni kakundi ka watu wachache, lakini jichungeni dhidi ya fitina za ccm, tusimjadili dr. kwa kinyanganyiro hicho angalau kwa sasa.tetesi eti, Dr sasa jimbo la igunga ni lake kwa hivyo kale ka mkakati ka shibuda kutoa nafasi katakuwa basi japo pale igunga Dr atafanya kazi sana kuwashawishi wale wapiga kura.Wadau hivi kwa alichofanya RA mnafikiri kinatija kwa Taifa na je vp? Kuhusu jimboni kwake wanapomlilia?
Slaa hawezi hata kujaribu kugombea Igunga, si uliona wanavyomlilia Rostam, mpaka wengine wamezimia!
big up peter!Nafikiri ni mapema mno kujadili suala la ubunge wa igunga kwa dk nafikiri cdm inawapiganaji wengi tu, tumwache kwa ajili 2015 agombee tena urais
umeniPa hamasa bigSijui,..... lakini sina uhakika.
kwanza elewa wanalia kwa kutambua rushwa waliyokwa wakipewa na rostam ndo imekoma hivyo, na hako ni kakundi ka watu wachache, lakini jichungeni dhidi ya fitina za ccm, tusimjadili dr. kwa kinyanganyiro hicho angalau kwa sasa.