mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
BREAKING NEWS
Slaa arudisha kadi.. Katika hali isiyotazamiwa na wengi, katibu mkuu wa Chadema, Dr. Slaa, amejiondoa rasmi katika orodha ya wateja wa Startimes. Hii imetokana na kukatika kwa mawasiliano ya mara kwa mara na hivyo basi, imepelekea kuwarudishia king'amuzi chao pamoja na kadi yao ya malipo.
Aidha, ameonekana maeneo ya DSTV jioni hii katika harakati za kupata king'amuzi kingine. Asante