Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

Status
Not open for further replies.
Tumia kiswahili tu ndugu

Umenisaidia kujua huyu mtu ana kiwango gani cha elimu kwa bahati mbaya hata kiswahili kinamshinda sembuse lugha ya watu!hebu msome tena hajui matumizi ya L na R katika post zake zote,sasa hapo juu "vepesi" ndio nini?
 
Nimtu aliye laanika peke yake ndiye anaweza asiyaone maneno haya kua ni matusi. Mtu mwenye nyazfa kama yake hastahili kutoa kauli kama hizi (matusi) tena kwenye vyombo vya habari.

Hayo maneno yapo hata kwenye Biblia....soma sana mithali utajua....muandishi ni mpumbavu na alikuwa anafanya upumbavu kuuliza maswali ya kipumbavu...mpumbavu ni lazima aonyeshwe upumbavu wake...
Angeongea kiingereza hata wewe usingesema ni tusi....
 
Trivialization of serious issues to the highest level. Hivi hakuna chombo cha kufutia mtu hadhi ya kuwa mwandishi kama ilivyo ERB kwa engineers?
juzi nimekutana na mwandishi mmoja siwezi kumtaja jina -- lakini kwa jinsi alivyokuwa anaongea - Uelewa ni mdogo sana - hii tasnia imevamiwa kama vile ile ya siasa. Mtu akiweza kuandika sentensi mbili basi anajiita mwandishi. njaa nje nje.
 
Kumbe chadema ni chama hatari hivi ? Tunashukuru kwa mambo kuwekwa hadharani . Maana tungedanganyika 2015. Kweli Mungu ni mwema.
 
nini tafsiri ya slaa kuporomosha matusi badala ya kujibu hoja????????????? kwa hapa jf mtu akitukana huwa ameishiwa hoja na hivyo ameshindwa kutetea kile kinachoelekezwa kwake..
Kuna tusi gani mtu akikuita wewe ni mpumbavu kwa kudhani hapo kuna hoja?
 
Mbona habari iko poa tu, we unafikili inshu yamtu kutaka kumtilia sumu mwana siasa mwenzie sio habari nyeti? Au ulitaka habari ipi ya maana ambayo ungeipa kipaumbele?

Kwamba kuna mashehe wa miskiti mitatu Dar wanataka kusomea dua ya kumuua rais wetu mpendwa!
 
hivyo hawa vijana ni wasaliti, na wasingefukuzwa chadema wangezidi. chafua hali ya hewa,wanatutia aibu kubwa vijana wengine, inanesha bei ya utu wao iko chini sana
Mh Kambona alishindwa kuelewana na Nyerere katika sera, Mzee Mtei alishindwana na Mwl Nyerere kuhusu sera za kiuchumi, Kassanga Tumbo, Dr Bisigye alishindwana na Museveni Uganda. MP 7 ilikuwa movement ya vijana dhidi ya uongozi mzee wa Chadema.
CDM mmefanya kosa kubwa sana kuwafukuza hao makada wenu, siasa haziendi hivyo, madhara yake ndiyo hayo.CDM walitaka waoneshe ungangari wao kuwatimua hao vijana. HAKUNA SIRI TENA HAPO. MWANGA MBOGA NAMWAGA UGALI.
 
Watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa wa siasa chafu za kuua vyama. ccm wameishiwa mbinu za kistaarabu, hata hivyo cdm inawapasa kujibu hoja hizi za uzushi kwani wenzenu ccm ndio wanapanda mbegu mbaya hivyo! Msisahau kuwa magugu yakipandwa huota na kuzaa kushinda mazao rasimi!
 
nchi ilipofika sasa, inapaswa viongozi wa dini waingilie kati wakemee mapepo yaliyomo kwenye vichwa vya viongozi wataka vyeo na madaraka hadi wanathubutu kutafuta roho za watu ili watutawale
 
Watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa wa siasa chafu za kuua vyama. ccm wameishiwa mbinu za kistaarabu, hata hivyo cdm inawapasa kujibu hoja hizi za uzushi kwani wenzenu ccm ndio wanapanda mbegu mbaya hivyo! Msisahau kuwa magugu yakipandwa huota na kuzaa kushinda mazao rasimi!

jidulamabambasi alikuwa na akili timamu sana nashangaa unadhalilisha jina na heshima yake kwa michango yako hii mufilisi kabisa
 
kaka kuwa muhalisia basi unayajua matusi wewe au unaleta unafiki wako hapa
:nono:yaani mpaka moyoni mwako unajua kuwa unafanya unafiki:nono:....hili gazeti ni makanjanja:nono: ilipaswa kuandika kuwa ametoa kauli kali ambazo mwanaume wa kweli yoyote angekuwa kwenye position ya docta slaa angeongea hivyo...unaf... wewe
Unaweza kuitumia kauli hiyo (mpumbavu) kumwambimbia Baba yako au Mama yako mzazi? Ifikie mahali tuwe watu huru ki fikra. Kiongozi makini niyule mwenye kuchunga ndimi yake sie yule ambaye hata kuficha haiba yake kwake ni mtihani. Kwahilo Padri anatakiwa amuombe radhi mwandishi huyo (nawa TZ kwa ujumla)
 
"Absolute truth is a very rare and dangerous commodity in the context of professional journalism."-- Hunter S. Thompson
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom