Hilo Dr. Slaa sio pigo kwake. Anachotaka yeye ni posho tu.
Kisiasa Dr. Slaa kashajikatia tamaa, anahesabu siku tu astaafu rasmi...
Mkuu, atakubali kustaafu kwa hiyari?, au ndio mpaka asombwe na koleo?
Halafu si unajua hana pensheni?, sijui atamlea vipi Josephine?
Hilo Dr. Slaa sio pigo kwake. Anachotaka yeye ni posho tu.
Kisiasa Dr. Slaa kashajikatia tamaa, anahesabu siku tu astaafu rasmi...
Slaa ameangukia pua
Mkuu, atakubali kustaafu kwa hiyari?, au ndio mpaka asombwe na koleo?
Gharama za kumtunza Josephine ndio zinamfanya mpaka sasa ajikongoje kwenye siasa. Hata hivyo wapenda mabadiliko ndani ya Chadema wameshaanza kuchoshwa na same old politics za Slaa. Chadema sio taasisi ya kutunza wasio na pensheni. Hana budi kukaa kando...
kumbe nawe unakubali kudanganywa na mtu ambae yupo kwenye period eti ehee sasa we ndio umeangukia meno.
Kweli mkuu, kama CHADEMA ikiendelea kulea watu aina ya Dr Slaa basi kitakuwa sio chama cha siasa bali ni ghala la kulea wazee.
Jiulize Tumaini Makene, Molemo na MUNGI wako wapi?!
Watanzania pole zetu.. kama mpaka dakika hii bado tunawatu wa dizaini za wakina Mwigulu (HAMMY-D) anayejifanya msomi yeye kuchwa ni chadema tu chadema hv mara vile... halafu anaona kinachofanywa na chadema na Mashirika mbalimbali katika kutafuta maoni ya katiba mpya toka kwa wananchi kwa ajili ya mustakabali wa taifa letu lijalo kama ni suala dogo hivi lisilo na maana ... inasikitisha kwa kweli ndio maana ni kasema,,,,,,,,,,,,,,,, kwa kutumia viongozi wengi tulionao serikalini na bungeni kuwa ni sample tosha ya jinsi watanzania tulivyo.... ndio maana nchi haiendeleei kila jambo mtu analeta ushabiki wa simba na yanga hata kwenye jambo la maslahi kwa taifa.. au kwa kuwa suala la katiba mpya halikuwa katika ajenda ya chama chako HAMMY-D.. Jifunze kuwa na busara some time
Huwezi mtu kila siku wewe ni kuleta personal attack every time... umetumia personal attack kitambo tangu uchaguzi wa 2010 ukaona chadema walivyoongeza wabunge na madiwani.. umeleta personal attack kwa dr slaa ukaona ulivyopoteza viti vya udiwani kadhaaa,.. ya juzi arusha umeshasahau.... halafu wewe ndio mchumi
kinachofanywa na chadema na NGO zingine kwa sasa ni kwa faida ya taifa zima.. uwe muelewa sometime.. siyo kujifanya muelewa wa kila kitu.. kazi unayoiweza kwa sasa labda ni hii tu....View attachment 107531
kupata kwako daraja la kwanza la uchumi wako umesaidia nii taifa???... unasikitisha sana kijana