Usinilishe maneno kijana
Jibu hoja kwanini picha ya jk pale ajilegeze hivo wakati ni Chief wa Makamanda?
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
Leta hoja za maana utajibiwa lakini sio hizi za kitoto na sijui kujilegeza ni nini?
Na umetumia kipimo gani kujua hilo la kujilegeza?
Usitake tuongeze page kwa kubishana kwa hayo mambo yako ya kitoto unayo yaita hoja.
We maku kweli maana unaongea upuuzi tu unabadilisha tafsiri ya maneno ya mtu nakuweka ya kwako.Walevi kama wewe wote mnaimani naye kwa vile karuhusu gongo itumike akiwa madarakani sasa kwa nini msimpende.
Dr. Slaa is my Prisident 2015.
kama kusoma hujui hata picha huioni.
Kweli buku saba zimewakolea.
Ok!! Ure president!!! Kumbe safi sana ,,lakini kuwa raisi wa tanzania haita tokea hadi dunia hii inakufa
Nimekuambia leta hoja nitakujibu kama hauna kaa kimya.
Fedha za chama cha chadema wewe@gamba zinakuhusu nini???Uzuri safari za Kikwete zina mafanikio mengi. Sasa katibu mkuu anazurura kila siku???
Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha za chama....
Nimekuambia leta hoja nitakujibu kama hauna kaa kimya.