Dr Slaa ang'ara katika salam za Mwaka 2014,

Dr Slaa ang'ara katika salam za Mwaka 2014,

Status
Not open for further replies.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,665
Katika hali ya kutia hamasa,
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Dr Wilibroad Slaa katika siku za awali za mwaka (2014),
Ameorodheshwa katika jarida la Uchambuzi wa siasa nchini Ujerumani kama Mtu mwenye ushawishi zaidi, katika kanda ya Afrika Mashariki, Dr Slaa ambae amewahi kuwa mgombea wa Uongozi wa juu kabisa Nchini Tanzania, Anaangaliwa zaidi kwa jicho la karibu na watanzania walio wengi,
Akifanya Mahojiano katika jimbo la Bavaria,Mhariri wa gazeti la kila siku Nchini Ujerumani,Iern Madrne, Aliwapa Maono yake kuhusu nchi zinazoendelea hususani Nchi za Afrika Mashariki, Na kupongeza kazi inayofanywa na chama cha Upinzani nchini Tanzania Chadema,
Dr Slaa anatarajiwa kuwa na Ziara ya kikazi katika Jimbo la Bavaria Nchini Ujerumani hapo baadae mwaka huu.
 
M4c iboreshwe! Kuanzia mwezi wa 10 uchaguzi wa serikali za mitaa! Dr. Slaa apange timu mapema!
 
hivi dr. Aliondoka ccm lini? Yaani amezeeka ndiyo anang`ara, siku zote alikuwa wapi??????? Namuonea huruma kwan urais atausikilizia ndotoni
 
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
 
hivi dr. Aliondoka ccm lini? Yaani amezeeka ndiyo anang`ara, siku zote alikuwa wapi??????? Namuonea huruma kwan urais atausikilizia ndotoni

Habar ndio hio, Kang,a ktk salam za mwaka mpya je jk alitoa wap salam
 
hivi dr. Aliondoka ccm lini? Yaani amezeeka ndiyo anang`ara, siku zote alikuwa wapi??????? Namuonea huruma kwan urais atausikilizia ndotoni

Uzee wake umeujuaje? Ulimpa akashindwa?
 
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.

Muulize Rais dhaifu,ni safari ya 360 ,miaka mitatu nje ya nchi!Hizo hela zimetoka wapi?
 
nina imani kwa Dr. SLAA, Akigombea 2015 kura yangu na sauti yangu vitamhusu
 
Labda atakuwa alipaka mafuta mengi tu wala siyo unavyomaanisha wewe.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
nina imani kwa Dr. SLAA, Akigombea 2015 kura yangu na sauti yangu vitamhusu
Walevi kama wewe wote mnaimani naye kwa vile karuhusu gongo itumike akiwa madarakani sasa kwa nini msimpende.
 
Muulize Rais dhaifu,ni safari ya 360 ,miaka mitatu nje ya nchi!Hizo hela zimetoka wapi?

Uzuri safari za Kikwete zina mafanikio mengi. Sasa katibu mkuu anazurura kila siku???
Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha za chama....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom