Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais

Dr Slaa ndo raisi wetu mtarajiwa.
 

Huyu dr wa ukweli ndio kipenzi cha watanzania
 
Njaa ya watanzania Ndiyo inayompa kiburi Lowasa. mwizi ni mwizi tu hata kama akiungama kwa papa. mtajuta watanzania. Najua Dr Slaa akishaingia ikulu cha kwanza anawafunga wezi wote wakiwemo waliotoa m 10 za mboga

Lakini si unaijua adhabu ya mtu alieiba mke wa mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…