Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Kukaa kimya wakati issue haijaenda popote ni kweli kuna tafsiri nyingi, lakini kama issue ipo kwenye process za kisheria, kukomenti chochote ni kuingilia uhuru wa mahakama... Tuache mahakama ifanye kazi yake. Ni viongozi wa CCM pekee ndo wanaweza wakakoment hata kitu kinachosubiri hukumuDah maoni tu mbona ishu ndogo hiyo wangetoa tu kukaa kimya kuna tafsiri nyingi
wangetoa tu maoni yao, yanini malumbano yasiyo na tija?
Dah maoni tu mbona ishu ndogo hiyo wangetoa tu kukaa kimya kuna tafsiri nyingi
Tendwa hajui mipaka ya Ofisi yake!!
Khakha mtu akimwita DR rais inakuwa poa sana .....yaani unanikoshani sawa sawia kabisa dr slaa. au tendwa kawa dpp siku hizi? jibu zuri sana kutoka kwa rais wangu wa moyoni.
Ni mtata sana, au sio?Duu rais slaa bwana!!
Aibu....Naona TENDWA KATENDWA!!
Ni mtata sana, au sio?