Dr. Slaa amfuata Lipumba

tunahitaji mabadiliko, lowasa ni mtanzania kwa nini abaguliwe? Ccm ni wabaguzi ukawa ni wa upendo na amani. Ukawa woyeeeeeeeeeeee mabadiliko ni lazima na mabadiliko ni sisi tujitokeze kuhakiki taarifa zetu kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
 
Wewe utakuwa hujuhi maana ya ubaguzi na nakushauri nenda S.Afrika ukawaulize watakuelimisha vizuri sana ..Lowassa ni mwizi na mhaini
 
Askari mmoja akiondoka huwa ni nafasi ya kujipanga vyema kulingana na idadi Mpya na kusonga mbele.
 
Dr Slaa shikamoo unajitambua,maana ingekuwaje uketi meza moja na Lowassa mwenye utitiri wa kashfa na wewe wazijua,Kama ulivyozimwaga Mwembeyanga,Heko Slaa imeipa raha nafsi Yako na kukataa kula matapishi

Leo ndio unamuona SLAA wa maana eeeh. MA-CCM bwana wakati mwingine wananishangaza sana. Wanawasema UKAWA kwamba wanakula matapishi yao kwa kumkaribisha LOWASSA lakini wakati huo huo wao wenyewe hawaoni kula matapishi yao wanapomsifu SLAA ambaye walikuwa wanamkandia na kumwita PADRE hawezi kuwa RAIS. Yaani kweli unafiki huu utaendelea kuwatafuna MA-XXM mpaka kuzimu.
 
slaa ana msimamo wake tofauti na lipumba ambaye anaonekana kuwa na tamaa

Slaa ana msimamo lakini hana tamaa, Lipumba hana msimamo ila ana tamaa !
Wote walikuwa watia nia katika vyama vyao ila Lowassa akawavurugia baada ya Mbowe kubadilisha gia angani. KALEBE kupenda upofu !
 
Last edited by a moderator:
leo hii mnamtukana dr slaa kweli nyinyi chadema

Wanaomtukana huyu Mzee si chadema Bali na Lumumba..
Wanalia maana Mzee hahongekiii....he is the best politician I ever see.....namtakia maisha marefu na chadema bado twamhitaji sanaa...tunathamini sana mchango wajeeee
 
kamA DK Slaa anaishi kwa kutumia fikra za mkewe hafai na hatakaa afae kuwa rais, namtakia kila la kheri huko aendako
 
Hivi nyie mnataka kutuamisha utakatifu wa lowasa,mnatumia kigezo gani?
Rafiki yake mpendwa ambaye hakuokotana barabarani aliwaambia wajumbe kwamba 1995 jina la el lilikatwa kwa sababu ya ukwasi usio na maelezo,mwenyewe HAJAKANUSHA.

Basi wewe tutajie hao watakatifu sana wanaomnyooshea kidole EL. Sisi wananchi tuna uhakika huko kwenu hakuna hata mmoja. We need TRANSFORMATION bana, ikiwa nyie mnawaweka hao hao wenye tuhuma, basi acha tushindane kwa kura
 
That's the reality..
Big up.
 
Basi wewe tutajie hao watakatifu sana wanaomnyooshea kidole EL. Sisi wananchi tuna uhakika huko kwenu hakuna hata mmoja. We need TRANSFORMATION bana, ikiwa nyie mnawaweka hao hao wenye tuhuma, basi acha tushindane kwa kura

Hahaa unatumia maneno ya Polepole siyo? Hiyo transformation utaletewa na Lowassa
Pole mkuu hiyo ni more of the same!
 
Ama kweli filisika uyaone masimango leo Dr. slaa ndo wa kutukanwa
 
Wewe utakuwa hujuhi maana ya ubaguzi na nakushauri nenda S.Afrika ukawaulize watakuelimisha vizuri sana ..Lowassa ni mwizi na mhaini
We utakuwa sio mtanzania tafuta maneno ya mwana Wa mfalme utaelewa amemaanisha mini LA sivyo ludi kwenu burundi
 
Dr Slaa ndio katutukana wana chadema toka tumeanza kumbambana Na ccm mpaka Leo no miaka 20 Na yeye tulimwamini akawa mgombea Wa urais kura hazikutosha mwaka huu tukaunganisha nguvu Na wenzetu tukaunda ukawa kwa pamoja tukakubaliana tumtafute mchezaji atakaye tusaidia kupambana cha ajabu anatugeuka hali ambayo inaonyesha kumbe lengo in kuwa upinzani dhaifu kwa hiyo yeye ndio katutukana.
 
Kampeni tayari kumbe:what:
 
Hv wote mmeshindwa kung, amua kujua kwamba mnaamini gazeti la ccm, habari zote hapo kwenye hicho kigazet mnaziamini? Someni habari zote hapo, eti bao la mkono la nape lawatesa ukawa. Kweli ccm wanayatumia sana magazeti yao yani hata hayauziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…