Dr. Slaa amfuata Lipumba

Kwa Mwaka huu chadema.kama.mgombea angekuwa Dr Slaa tungepigwa vibaya na viti vingi vya.ubunge tungepoteza

Magufuri huku mikoa ya kati na kanda ya ziwa anakubalika sana hivyo kumwekea Slaa ilikuwa sawa na kujiandaa kuja kudanganya UKAWA wameibiwa kura,mtu powerful na anayefahamika sambamba na Magufuri ni Lowassa. Watu wanajidaganya sana eti Slaa angemnyima usingizi Magufuri. Huyu mzee amejidharirisha sana ukizigatia eti ni kiongozi wa kiroho.
 
Hizo hoja ulizojenga zikasaidia hii nchi ikawa kama Newyork mbona hazionekani wewe gamba la ccm? acha kunitisha na ban wewe mwizi wa CCM
Hujui. Tulia. Siyo kila kitu ucoment. Nina uhakika hata nikiandika hapa mantiki hutanielewa...kwa sababu kama utasoma mstari baada ya mstari coments zangu utagundua mimi ni muumini wa nini...hilo nalo umeshindwa kung'amua na badala yake umenicharacterize "mimi ni gamba la CCM"...Well and good!. Enjoy the platform...fanya hivyo kwa kuargue, siyo kitukana au kumkashifu yeyote. Kutukana ni sifa za mjinga/mpumbavu/mtu asiye mstaarabu.
 
leo hii mnamtukana dr slaa kweli nyinyi chadema

Askari yeyote anayeasi vitani anastahili kifo, yeye hana tofauti, kwa sasa hana jipya la kutueleza wanamageuzi abaki na gubu lake viva lowassa viva ukawa
 
Nenda Dk. Slaa hakika utaishi ndani ya moyo wangu mpaka kufa kwangu, hakika wewe ni mwanasiasa pekee hapa Tanzania kuwahi kutokea ***Mungu akubariki Dk****

Ni kweli ni mwanasiasa wa kipekee kuwai kutokea tanzania
1.Alifukuzwa upadri kwa tamaa za ngono
2.Alimtelekeza mke wake wa kwanza na watoto wawili kwa tamaa za ngono
3.Alipora mke wa mtu kwa tamaa za ngono
4.Alimpatia hawara yake kazi makao makuu ya chadema kwa tamaa za ngono
ziada ya upekee wake
1.Alijikopesa pesa ya ruzuku ya chama na bado ajarudisha
2.Ndiye katibu mkuu anayepokea mshahara mkubwa zaidi ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa tanzania lakini hana uchungu na chama chake zaidi ya ubinafsi na kujiona yeye ni mkubwa zaidi ya chama kinachomlipa mshahara.
3.Aliamini yeye ni mgombea wa kudumu chadema
4.Mwisho aliamini chadema kama chama cha siasa kuchukua dola lazima yeye na hawara yake waamie magogoni

akika ni wa kipekee
 
Hata aungane na nani mziki wa ED,mbowe,mbatia,na seif unatosha sana hatusubiri safari ya mabadiliko inaendelea
 

Ahsante kwa mitusi uliyoporomosha. Bakizeni maneno.
 


Ahsante kwa mitusi uliyoporomosha. Bakizeni maneno.

Kipi ni cha uongo au tusi???
 
Dr.Slaa kafa ganzi unadhani anahamu tena na siasa? bora aende tu akapumzike huko ulaya Siasa za Tanzania zina wenyewe. akirudi wenye siasa ataonekana mnafiki sana.
 

Ukitizama sana wengi wanaomkejeri Dr.Slaa ni team lowasa.
 
Masikini slaa walikutumia kama jojo umeishautam wamekutema na kuanza kuku kanyaga
 
Historically wapambanaji hawawi Viongozi au watawala.
Mfano; John Okello (Mapinduzi ya Zanzibar), Dedan Kimathi (Maumau Movement )
Dr Slaa,
Ongeza wengine...
 

Nakuunga mkono Kwa 100%
 
Dr.Slaa ana akili sana upumbavu uliofanywa na chadema hauvumiliki kwakweli.
 
slaa ana msimamo wake tofauti na lipumba ambaye anaonekana kuwa na tamaa


Mwenzake alienda Rwanda Kigali alifikiri hatarudi lakini nyumbani ni nyumbani amerudi leo bila haya eti kenda kufanya utafiti wa siku 4 namna ya kuzitumia shilingi bilioni 3.7 kwa maisha ya Tz.
 

Hayo ni mawazo yako mtapigwa kifo cha mende miguu juu, na misafara yenu ya kukodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…