Utakapo click hiyo tarehe unasikia anazungumzia kuhusu makubaliano ya CHADEMA na Polisi ya Kufanyika maandamano na mkutano. Pia Ona jinsi Tendwa anavyoyumba katika kusimamia sheria ya vyama vingi.
Na kwa nini mpaka sasa hajatoa taarifa au maelezo yoyote?