Viongozi wakuu wa UKAWA wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa wametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa kijijini Butiama.
Mara baada ya kufika viongozi hao walilakiwa kwa shangwe na wanafamilia ya Mwalimu Nyerere ambapo walikaribishwa kwa mazungumzo mafupi kwenye nyumba aliyokuwa anaishi Mwalimu Nyerere.
Baada ya mazungumzo hayo ya Faragha waliongozwa kwenda katika kaburi la Baba wa Taifa na kuweka mashada ya maua.
Wakizungumza baada ya mazungumzo hayo wanafamilia hiyo ya Nyerere wameungana na UKAWA kutaka maoni ya wananchi yaliyowasilishwa na Jaji Warioba katika Rasimu ya Katiba yaheshimiwe.
Mmoja wa wanaukoo wa Nyerere akihojiwa amesema ni ulevi tu wa madaraka kupuuza maoni ya wananchi na kumtusi warioba.
Source:ITV Habari.
..wameenda kufanya nini? Na matusi yote yale waliyomporomoshea?
..Wameenda kufanya nini? Na matusi yote yale waliyomporomoshea?
..Wameenda kufanya nini? Na matusi yote yale waliyomporomoshea?
..Wameenda kufanya nini? Na matusi yote yale waliyomporomoshea?
Mama Nyerere alishawaumbua, hamna jipya zaidi ya kukaririshwa nini cha kuandika.
nani alisema nyerere ni malaika???binadamu wote wana mapungufu acha utaahira
Hivi hayo matusi mnayosisitiza mliyaona nyie tu? Mbona hata mkewe pamoja na wanawe waliwapokea nyumbani kwake kwa mtizamo tofauti na nyie!?..Wameenda kufanya nini? Na matusi yote yale waliyomporomoshea?
Vijana nyie ni kama bendera inayofuata upepo, Leo hii hamuitaji CHADEMA tena!Wale mapaka shume wa Lumumba sijui watajisikiaje wakiona jambo kama hili?
Ukawa ni sauti ya Mungu,
Heko Ukawa, Heko familia ya Mwalimu.
acha uongo wako usimsingizie mama wa Taifa.Mama Nyerere alishawaumbua, hamna jipya zaidi ya kukaririshwa nini cha kuandika.
Wale mapaka shume wa Lumumba sijui watajisikiaje wakiona jambo kama hili?
Ukawa ni sauti ya Mungu,
Heko Ukawa, Heko familia ya Mwalimu.
..Wameenda kufanya nini? Na matusi yote yale waliyomporomoshea?