Elections 2010 Dr Slaa Akiwa Bungeni atowa changamoto kwa serikali ya CCM Kasheshe kali

MziziMkavu, safi sana mkuu!!

vitu kama hivi hakuna budi kuvitafutia vipindi maalum kwenye TV kama inawezekana virushwe hewani muda ambao watz wengi watakuwa wanaangalia TV. Chadema wahusika tafuteni muda mzuri kabisa wekeni hii CV ya bungeni ya huyu mzee hata kwa wiki nzima tuone kama atatoka mtu salama.

Mpaka hapo keshapandisha presha za watu, chonde chonde jamani ningekuwepo karibu ningejitolea kufanya hiyo kazi. Vijuisheni vitu kama hivi harafu viitwe kipindi maalumu cha Dr Slaa Bungeni na itasaidia sanaa. sijui ni TV gani ya kizalendo, ila fanyeni hima hata kama KBC ya kenya watu wataangalia, au BBC itasaidia kuwaamsha watu waliondani ya usingizi mnono.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom