Hakika anasema kweli. Ndo maana anasema kweli kuwa Josephine Mushumbusi ni mke wake wa ndoa
Wala sio kipenzi cha watanzania wewe.nikipenzi cha mke wake
TWAWEZA walishamaliza kuwa SLAA siyo chaguo la Watanzania tena, nyie ndo mnapambapamba ili asijione mpwekeYaani kwenye hili jamvi huwa kuna kitu sikielewi!!
LIKITAJWA TU JINA LA DR. SLAA, Lumumba huwa wanapaniki sana sijui kwann!!!!??
Yaani ukija na heading "Dr. Slaa" alafu content ukasema 'anaweza'. Basi page hadi 50!!
Nyota ya mtu haizimishwi kwa chuki!! PAMOJA DR. SLAA
Mbona facts zenu zinakuwa zakulazimisha kiasi hiki, kulikoni mpaka mtoe mapovu kiasi hicho?Wasiopenda kudeal na facts siku zote wanakua na vijimaneno vyakishogashoga hivi. Watu wanatoa facts ambazo ndo zinawafanya anakua kipenzi cha waTz wewe unaongea ushoga. Kwahiyo kiwete ndo kipenzi chawaTz bac, wewe unaona inaingia? Huyu nikipenzi cha mafisadi ndomana wanaweza hata kuwaita watu tumbili, mchumia pango, watanzania mtabakia kuwa madalali yaani nawewe ukiwemo ila Mtu mwenye asili ya Kiiringa mhindi Seth anatamba kushikilia serikali yakikwete mfukoni. Baba wa taifa alisema aliwahi kumfunga mzungu aliewahikusema serikali kaiweka mfukoni, sasa huyu anamchekea tu, na hili nalo linaongea ushabiki tu.
Huwezi kumjadili mtu mwenye ndoto ya kuwq rais usijasili mambo yake binafsi, mtakuwa mnafanya makosa makubwa sanaUsiingilie mambo ya Familiya. Utakuja pata aibu hadharani.
Na ndio maana Binadamu tunaishi katika nyumba zenye kuta nene ili kustiri ya ndani.
Huu ni ukumbi wa SIASA, hivyo ni vyema kama utajadili kuhusiana na siasa. Kama kuna jambo la familiya unataka kuliweka hapa itakuwa siyo sehemu yake. Labda mwambie MODS aongeze ukumbi wa FAMILIYA.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Nataka UKAWA wakomalie na majina ya watuhumiwa waliochota fedha za ESCROW kupitia benki ya Stanbink.Huko ndiko kwenye majina ya watu muhimu sana wakiwemo hawa wanaodai kuwa wapinga ufisadi nchini!
Mpaka kieleweke.
Hoja za kijinga kama hizi hazipaswi kutolewa na watu wazima halafu ziletwe jukwaa la hoja pevu (jf) na mtu anayeheshimika ndani ya saccos aitwaye molemo
Wasiopenda kudeal na facts, Kwahiyo kiwete ndo kipenzi chawaTz bac, wewe unaona inaingia? Huyu nikipenzi cha mafisadi ndomana wanaweza hata kuwaita watu tumbili, mchumia pango, watanzania mtabakia kuwa madalali yaani nawewe ukiwemo ila Mtu mwenye asili ya Kiiringa mhindi Seth anatamba kushikilia serikali yakikwete mfukoni.
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
Yaani kwenye hili jamvi huwa kuna kitu sikielewi!!
LIKITAJWA TU JINA LA DR. SLAA, Lumumba huwa wanapaniki sana sijui kwann!!!!??
Yaani ukija na heading "Dr. Slaa" alafu content ukasema 'anaweza'. Basi page hadi 50!!
Nyota ya mtu haizimishwi kwa chuki!! PAMOJA DR. SLAA
TWAWEZA walishamaliza kuwa SLAA siyo chaguo la Watanzania tena, nyie ndo mnapambapamba ili asijione mpweke
Kwa nini asilaani kauli ya Kafulila ya kuwasafisha maskofu kuwa hawana kosa kupokea mulungula wakati Bunge liliwaona wana hatia?