ndugu zangu uchaguzi umekwisha na matokeo yenye utata yamekwishatolewa na tume ya uchguzi. Matokeo hayo yana kila dalili kuwa yamechakachuliwa kwa nia ya kumuokoa mgombea wa ccm dr jakaya kikwete na kulinda heshima ya ccm.
Najua wengi wetu tuna uchungu sana wa kuibiwa kura zetu. Lakini ni ukweli kwamba chadema imepata madiwani na wabunge wengi kwa mara ya kwanza, mfano katika kanda ya ziwa upo uwezekano mkubwa chadema ikaongoza halamshauri na manispaa zisizopungua 4hadi 6.
Huu ni mzigo mkubwa sana ambao chadema imebeba mbele ya jamii kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Na matarajio ya wananchi ni makubwa sana.
Kama madiwani na wabunge watashindwa kuondoa kero mbali mbali zinazowakabili wananchi katika kata na majimbo chadema iliyopata ushindi ni wazi kuwa idadi ya madiwani na wabunge wa chadema itashuka sana mwaka 2015, jambo ambalo litakuwa shangwe kubwa kwa ccm. Lakini kibaya zaidi chadema itashindwa kupata viti vya wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji mwaka 2014.
Ili chadema iweze kujipanga vyema kushika madaraka katika halmshauri ilizoongoza na wagombea wake wengine walioshinda kutekeleza kwa vitendo ahadi zao kwa wananchi, panahatajika hali ya amani na utulivu miongioni mwetu wote viongozi wa ngazi ya taifa, mikoa, wilaya, madiwani na wabunge wetu.
ni kuweli usiopingika ili madiwani na wabunge wa chadema waweze kutimiza matarajio ya wananchi, wananchama wote wa chadema katika maeneo husika wanahatajika kushirikai katika kubuni, kuratibu na kusimamia mipango, mikakati na miradi mabali mbali ya maendeleo katika maeneo yao. jukumu hili linahataji wananchama wenye mawzo yaliyotulia.
Jukumu lingine kubwa lililo mbele yetu kama wananchama na makada wa chadema ni kukijenga chama kwa kufungua matawi na mashina nchi nzima ili kujiweka tayari na uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2014 na uchaguzi mkuu wa 2015. Hili nalo ni jukumu kubwa linalohitaji wananchama waliotulia.
Hivyo wakati chadema makao makuu ikishughulikia suala la kuibiwa kwa kura zetu, ambapo naamini suluhisho kamili ni kuandikwa upya kwa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kwa kushirikisha wadau mbali mbali; na kupatikana kwa tume huru ya uchaguzi.
Natoa pendekezo wanachama na mashabiki wa chadema wengine wote tusitishe malumbano ya suala hilo na tujikite zaidi katika majukumu niliyoyataja hapo juu, kwani wananchi waliowapigia kura madiwani na wabunge wetu watakapona tunaendeleza malumbano ya suala hilo watavunjika moyo na kutokuiamini chadema katika chaguzi zijazo. Aidha endapo madiwani na wabunge wetu watakaposhindwa kutimiza ahadi
kwa sababu za msingi wapinzani wetu watawaambi wananchi kuwa tulishindwa kutimiza ahadfi hizo kwa sababu ya kugombea kwenda iuklu, hivyo tutakosa kura siku za usoni.
Hivyo kwa kuanzia ili kujenga mazingira mazuri ya nashauri chadema ishiriki katika shughuli ya kuapishwa kwa kikwete ndipo madiwani na wabunge wetu pia wataweza kupata ushirikiano watakaouhitaji kutoka serikalini.
Naomba kuwasilisha
Slaa ni mtu mdogo sana , hata asipo kwenda kuapishwa haisaidii kwani haongezi lolote kwenye uapishaji zaidi ya kuwekwa back bencher na kuwa mtazamaji tu wakati mwenye nchi anaapa. Tutamkaribisha ikulu anywe chai halafu aondoke, si atakuwa ameingia ikulu au .
wewe hata haki zako huzijui.
nilikuwa sijui kumbe wewe ndo yule alie toroka milemmbe,walikupa jina hilo maana unapenda misisfa mpaka akili imekuwa zero (cero).ww subiri rais wako wa ukweli aapishwe kesho, acha longolongo, na atakuongoza mpaka 2015, halafu atakuja mwingine kutoka ccm tena, atakuongoza 2015-2025
nilikuwa sijui kumbe wewe ndo yule alie toroka milemmbe,walikupa jina hilo maana unapenda misisfa mpaka akili imekuwa zero (cero).
Kwa matumaini ya wapenzi,wananchama na wapenda mabadilko nchini natuma DR SLAA hatahudhuria shughuli yeyote ya kuhalalisha uchakachuajii wa uchaguzii itakayofanywa na TUME
ndugu zangu uchaguzi umekwisha na matokeo yenye utata yamekwishatolewa na tume ya uchguzi. Matokeo hayo yana kila dalili kuwa yamechakachuliwa kwa nia ya kumuokoa mgombea wa ccm dr jakaya kikwete na kulinda heshima ya ccm.
Najua wengi wetu tuna uchungu sana wa kuibiwa kura zetu. Lakini ni ukweli kwamba chadema imepata madiwani na wabunge wengi kwa mara ya kwanza, mfano katika kanda ya ziwa upo uwezekano mkubwa chadema ikaongoza halamshauri na manispaa zisizopungua 4hadi 6.
Huu ni mzigo mkubwa sana ambao chadema imebeba mbele ya jamii kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Na matarajio ya wananchi ni makubwa sana.
Kama madiwani na wabunge watashindwa kuondoa kero mbali mbali zinazowakabili wananchi katika kata na majimbo chadema iliyopata ushindi ni wazi kuwa idadi ya madiwani na wabunge wa chadema itashuka sana mwaka 2015, jambo ambalo litakuwa shangwe kubwa kwa ccm. Lakini kibaya zaidi chadema itashindwa kupata viti vya wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji mwaka 2014.
Ili chadema iweze kujipanga vyema kushika madaraka katika halmshauri ilizoongoza na wagombea wake wengine walioshinda kutekeleza kwa vitendo ahadi zao kwa wananchi, panahatajika hali ya amani na utulivu miongioni mwetu wote viongozi wa ngazi ya taifa, mikoa, wilaya, madiwani na wabunge wetu.
ni kuweli usiopingika ili madiwani na wabunge wa chadema waweze kutimiza matarajio ya wananchi, wananchama wote wa chadema katika maeneo husika wanahatajika kushirikai katika kubuni, kuratibu na kusimamia mipango, mikakati na miradi mabali mbali ya maendeleo katika maeneo yao. jukumu hili linahataji wananchama wenye mawzo yaliyotulia.
Jukumu lingine kubwa lililo mbele yetu kama wananchama na makada wa chadema ni kukijenga chama kwa kufungua matawi na mashina nchi nzima ili kujiweka tayari na uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2014 na uchaguzi mkuu wa 2015. Hili nalo ni jukumu kubwa linalohitaji wananchama waliotulia.
Hivyo wakati chadema makao makuu ikishughulikia suala la kuibiwa kwa kura zetu, ambapo naamini suluhisho kamili ni kuandikwa upya kwa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kwa kushirikisha wadau mbali mbali; na kupatikana kwa tume huru ya uchaguzi.
Natoa pendekezo wanachama na mashabiki wa chadema wengine wote tusitishe malumbano ya suala hilo na tujikite zaidi katika majukumu niliyoyataja hapo juu, kwani wananchi waliowapigia kura madiwani na wabunge wetu watakapona tunaendeleza malumbano ya suala hilo watavunjika moyo na kutokuiamini chadema katika chaguzi zijazo. Aidha endapo madiwani na wabunge wetu watakaposhindwa kutimiza ahadi
kwa sababu za msingi wapinzani wetu watawaambi wananchi kuwa tulishindwa kutimiza ahadfi hizo kwa sababu ya kugombea kwenda iuklu, hivyo tutakosa kura siku za usoni.
Hivyo kwa kuanzia ili kujenga mazingira mazuri ya nashauri chadema ishiriki katika shughuli ya kuapishwa kwa kikwete ndipo madiwani na wabunge wetu pia wataweza kupata ushirikiano watakaouhitaji kutoka serikalini.
Naomba kuwasilisha
Haisaidii anaona aibu kujitokeza mbele ya watu, atawaambia nn wana CHADEMA ambao aliwahakikishia ushindi na hakuupata ? . Kwa hiyo sinto shangaa sana kwa yeye kujitokeza kwani zama zake zimeisha ni aibu yakushindwa ndio inayo muhukumu.

Ww subiri RAIS WAKO WA UKWELI AAPISHWE KESHO, ACHA LONGOLONGO, NA ATAKUONGOZA MPAKA 2015, HALAFU ATAKUJA MWINGINE KUTOKA CCM TENA, ATAKUONGOZA 2015-2025
bajaji zenyewe zipo?foleni tutapanga wote, tutapigika wokte kwa aka 5 ,hata wamama wako wakiwa wajwazito watapanda bajaji vile vile ss sijui unashangilia nn hapa
Mmeshindwa nyamazeni, kwani hamna ubavu wakupambana na CCM nyie. Mlidhania RAIS anachaguliwa kwa vi sms vya humu JF ? mlijipa hope wenyewe kuwa slaa anashinda. Napenda mumpe urais wa JF, hapo vipi ? si unamfaaa?