Dr.Slaa Acha Unafiki!

Dr.Slaa Acha Unafiki!

Slaa anajifanya kuwa aliibiwa kura mwaka 2010 na uvumilivu wake ndio uliepusha nchi na machafuko. Huyu mzee mnafiki sana.
 
Watu wanaandika kuhusu Obama ndiyo atakuwa huyo kanjanja?!
Obama ni DR?ubongo unaoingia hewa utaujuwa tu![/QUOTE]

Kwani Obama si dr ? Sasa udokta wa dini nao udokta ? Hauna tofauti na wa Jk.
 
Kuleta thread nacho ni kitu cha ajabu? Its high time huyu Padri Babu aache unafiki sasa.

Nini maana ya mnafiki ukinipa jibu mimi na familia yangu tunarudisha kadi za chadema rais ambaye ni mwenyeketi wa ccm alisema anayo orodha ya wauza unga wakubwa, anawajua mapapa wanaoufanya biashara ya meno ya tembo, na mengineyo mengi mpaka sasa niambie ni kiongozi gani duniani anayewajua wahalifu wakubwa na akawaacha wakinywa mvinyo na kutanua kama ndio wenye hati miliki ya nchi hapo mnafki ni yupi kati ya hao japo kwa uchache manake penye ukweli uongo hujitenga.
 
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe jipange uje tena.
 
Wakati Rais Jakaya Kikwete anaanzisha mchakato wa kupata Katiba mpya, wewe Mzee na wenzio wapinga maendeleo ndio mlikuwa wa Kwanza kupinga uteuzi wa JAJI WARIOBA kama mwenyekiti wa tume hiyo. Na mliweka kila aina ya vikwazo ili kukwamisha mchakato huu, huku mkisema Katiba mpya ni SERA YENU. Nimetazama Taarifa ya habari ITV saa mbili hii, Mnafiki Dr.W.Slaa anasema kuwa anaiunga mkono rasimu ya JAJI Warioba kwa asilimia mia. Hivi Dr.Slaa ni lini umekuwa mpenda maendeleo? Unasapoti Rasimu ya warioba kisa tu amependekeza serikali tatu kama nyie au kwa sababu ya Msimamo wa CCM kuhusu serikali mbili? Huu unafiki wako unaonyesha wewe haufai hata kupewa mamlaka ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

wewe choo kama jina lako acha mbwembwe za matusi kama jinalako nani walikuwa na hoja ya katiba kwenye ilani yao 2010 kenge maji wewe.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu nijibu hapo kwenye hilo swali mwenyekiti wenu ni mnafiki ama sio mnafiki wako wapi mafisadi na wahujumu uchumi aliosema anawafahamu ? Au ndo siasa za uswahiba ndio maana wazungu wanatuita manyani maana hatuna akili mimi na wewe leo tupo kesho hatupo nina imani vizazi vijavyo vitakuja fukua mafuvu yetu wafanye utafiti kama tulikuwa tunaishi binadamu wenye akili timamu au wengi walikuwa mamento freshi.
 
Slaa hayuko kuwatumikia wananchi. Yeye raha yake ni porojo tu ili aonyeshwe kwenye vyombo vya habari.
 
Wakati Rais Jakaya Kikwete anaanzisha mchakato wa kupata Katiba mpya, wewe Mzee na wenzio wapinga maendeleo ndio mlikuwa wa Kwanza kupinga uteuzi wa JAJI WARIOBA kama mwenyekiti wa tume hiyo. Na mliweka kila aina ya vikwazo ili kukwamisha mchakato huu, huku mkisema Katiba mpya ni SERA YENU. Nimetazama Taarifa ya habari ITV saa mbili hii, Mnafiki Dr.W.Slaa anasema kuwa anaiunga mkono rasimu ya JAJI Warioba kwa asilimia mia. Hivi Dr.Slaa ni lini umekuwa mpenda maendeleo? Unasapoti Rasimu ya warioba kisa tu amependekeza serikali tatu kama nyie au kwa sababu ya Msimamo wa CCM kuhusu serikali mbili? Huu unafiki wako unaonyesha wewe haufai hata kupewa mamlaka ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
Nina wasiwasi na elim yako,maana uwezo wako wa kufikili ni mdogo mno. naomba nikuulize swali dogo tu nini maana ya muungano?
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka hata kabla ya warioba hajaanza kaz ya kaz
dr.slaa akiwa geita,alisema
tunaimani kubwa na mzee warioba
sasa unafk wa dr.slaa ni upi
 
Slaa hayuko kuwatumikia wananchi. Yeye raha yake ni porojo tu ili aonyeshwe kwenye vyombo vya habari.
Sasa slaa atumikie wananchi yeye ni rais ss tunamshangaa rais wenu anashinda nje ya nchi au ana b mdogo huko! Maana si bure,
 
Unaleta pumba ongea vitu vya msingi bna mbana mimi naikubali rasimu ya katiba kwa asilimia mia .....hausemi kitu.
 
Kuleta thread nacho ni kitu cha ajabu? Its high time huyu Padri Babu aache unafiki sasa.
Msalani, hakuna unafiki mkubwa dunini kama balozi wa china kuvaa kofia accm na kutangaza sea za ccm. Angalia avatar yako. CCM ni wanafiki hakuna mfano.
 
Kijana vua gamba vyaa gwanda mnafiki ni JK aliye mteuwa warioba baadae akamzalilisha mbele ya watanzania ila kwa watu wenyeuelewa tulijua jk nikilaza
 
Mabulangati hongera. Nasikitika ukiondoa idadi ya serikali yaliyobaki kiufundi ni yale yale ya katiba ya zamani tena kwa namna mbovu inayoweka substantive rights zinazopaswa kuwa kwenye sheria tu na kwa lugha isiyo ya grandnorms. Watanzania wana matatizo mengi yanayoathiri maisha yao la kila siku sijui yatapewa siku ngapi za mjadala maskini sie.
 
Huyo padri alishaweka nadhiri kwa Mungu na akaivunja hiyo ni laana tupu hatashindwa pia kulivunja taifa la tanzania ila nna imani atavunjika yeye
 
Back
Top Bottom