Dr.Slaa Acha Unafiki!

Dr.Slaa Acha Unafiki!

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
18,925
Reaction score
13,279
Wakati Rais Jakaya Kikwete anaanzisha mchakato wa kupata Katiba mpya, wewe Mzee na wenzio wapinga maendeleo ndio mlikuwa wa Kwanza kupinga uteuzi wa JAJI WARIOBA kama mwenyekiti wa tume hiyo. Na mliweka kila aina ya vikwazo ili kukwamisha mchakato huu, huku mkisema Katiba mpya ni SERA YENU. Nimetazama Taarifa ya habari ITV saa mbili hii, Mnafiki Dr.W.Slaa anasema kuwa anaiunga mkono rasimu ya JAJI Warioba kwa asilimia mia. Hivi Dr.Slaa ni lini umekuwa mpenda maendeleo? Unasapoti Rasimu ya warioba kisa tu amependekeza serikali tatu kama nyie au kwa sababu ya Msimamo wa CCM kuhusu serikali mbili? Huu unafiki wako unaonyesha wewe haufai hata kupewa mamlaka ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
 
Last edited by a moderator:

hicho kizee kinatamani sana kingekuwepo BMK ili kilete fujo
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenye fikira finyu utamjuwa tu akijieleza akuwa mzito wewe huna hadhi ya kuandika kuhusu DR na kama unafiki basi Ccm ndio wanafiki namba moja duniani

Majangili!
 
Wakati Rais Jakaya Kikwete anaanzisha mchakato wa kupata Katiba mpya, wewe Mzee na wenzio wapinga maendeleo ndio mlikuwa wa Kwanza kupinga uteuzi wa JAJI WARIOBA kama mwenyekiti wa tume hiyo. Na mliweka kila aina ya vikwazo ili kukwamisha mchakato huu, huku mkisema Katiba mpya ni SERA YENU. Nimetazama Taarifa ya habari ITV saa mbili hii, Mnafiki Dr.W.Slaa anasema kuwa anaiunga mkono rasimu ya JAJI Warioba kwa asilimia mia. Hivi Dr.Slaa ni lini umekuwa mpenda maendeleo? Unasapoti Rasimu ya warioba kisa tu amependekeza serikali tatu kama nyie au kwa sababu ya Msimamo wa CCM kuhusu serikali mbili? Huu unafiki wako unaonyesha wewe haufai hata kupewa mamlaka ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Hasira zanini sasa?!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Msalani leo kaleta thread,haaaah,haaah naona anaimba huku anatafuna karanga.Lete ushahidi kwa Dr.Slaa alimkataa Warioba
 
Maisha anayoishi Dr. Slaa na anachokihubiri kwenye majukwaa inadhihirisha ni jinsi gani alivyo mnafiki.
 
Msalani leo kaleta thread,haaaah,haaah naona anaimba huku anatafuna karanga.Lete ushahidi kwa Dr.Slaa alimkataa Warioba

Kuleta thread nacho ni kitu cha ajabu? Its high time huyu Padri Babu aache unafiki sasa.
 
Ukweli hujitenga na uongo. Ni kweli Slaa na wenzie walisema Kikwete hana nia ya dhati ya kupata katiba mpya na ndiyo maana kamchagua ccm mwenzie kuongoza mchakato. Tena Slaa, lisu, mnyika na marando wakadai ni bora angechaguliwa Prof Shivji kuongoza tume hiyo baada ya kongamano la katiba pale Nkrumah UDSM.

Kama alichosema Dr. Slaa kuwa anaiunga rasimu asilimia mia ndiyo msimamo wa chadema, nawashauri waitishe maandamano nchi nzima kupinga bunge la katiba na kura ya maoni na kumlazimisha rais aipitishe rasimu iwe ndio katiba mpya.

Tuache kutetea unafiki na uzandiki kisa tu kutetea chama au mtu fulani. Swala la idadi ya serikali ni kitu kidogo sana kwenye katiba lakini kwakuwa inatetea na kuongeza maslahi ya wanasiasa basi inapigiwa debe ili kuwapumbaza wananchi wasio wanasiasa. Mambo ya msingi yanayomgusa mwananchi wa kawaida hayashadadiwi mfano umiliki wa ardhi, huduma bora za jamii, kodi na mapato ya nchi, haki za binadamu, huduma kwa wazee, pensheni na mishahara havisemwi kabisa.

Tukiisoma rasimu vyema kuna mambo mengi sana yenye makosa ya kiufundi yanayohitaji wataalamu na uchambuzi wa kina lakini ukisema humu utaitwa gamba ukiunga mkono utaitwa chadema ukigeuka vyema ----------- na ccm au la ni ukawa. Mhhhhh tujiombee watanzania tuwe na fikra mabadiliko hasa katika maendeleo ya nchi yetu
 
Watu wanaandika kuhusu Obama ndiyo atakuwa huyo kanjanja?![/QUOTE]
Obama ni DR?ubongo unaoingia hewa utaujuwa tu!
 
Dr. Slaa alishasema atahakikisha nchi haitawaliki ndiyo maana anakuwa mfitini.

jamani tusimpe urais eti ataruhusu pombe haramu ipikwe na kuitengezea kiwanda sasa kuna mtu atafanya kazi sana lengo wa kutua vijana kwa pombe na kwa nini kila siku anagombea yeye mjanja ni zito
 
Huyu Mzee madudu yake yote yanafahamika ndio maana watanzania wengi wanasita kumuita muadilifu...
 
Maisha anayoishi Dr. Slaa na anachokihubiri kwenye majukwaa inadhihirisha ni jinsi gani alivyo mnafiki.
mnafiki ni mwenyekiti wako wa ccm anaebadilisha kauli zake kila siku ili kufurahisha watu. Hana msimamo katika jambo lolote wala hawezi kusimamia kauli yake. Nidhaifu kwa kila kitu, kazi yake kuchekacheka tu. Hana sifa hata ya kuwa mkuu wa kijiji!
 
Semeni mtakacho lakini dr ana umakini kuliko wengine wote wanataka urais 2015.
Yeyote atakayeibgia ikulu na kuwa muadilifu ataleta mabadiliko makubwa sana hapa nchini.
 
Nakumbuka maneno ya Prof. Mwesiga Baregu ''Nikiambiwa nichague kati ya nchi yangu na chama changu, nitachagua nchi yangu'' ni baada ya Chadema kutokuwa na imani naa tume ya katiba ndipo Baregu alipowagomea na kusema tume ina wajumbe wenye weledi uliotukuka.
Hata mimi nimeshangaa kwakweli kumuona Dr W. Slaa akisema kuwa tume ya Jaji warioba imedhalilishwa na Rais ilhali wao walikuwa wa kwanza.

My take
Usimwamini mwanasiasa yoyote ni warongo hawa.:nod:
 
Back
Top Bottom