Weka picha ili maelezo yako yaaminike......
Dr Slaa maneno hayo ni ya kuwashukuru Maaskofu kwa kazi kubwa waliyofanya makanisani kumnadi. Pia ana appeal kwao ili wamsaidie tena 2015
Kuna watu ambao ni wezi waliokubuhu na waroho wa madaraka.Kazi kupita Misikitini na Makanisani tu .
Hawa wakikosa madaraka mwakani wanaweza kujiua
Dr.Slaa ameonyesha historical background na pia ameonyesha kuwa principled.
Tatizo tuna taifa la viongozi wajanja wajanja na opporunists ambao hawako consistent au principled.

Kamamda mbona unatuchanganya jana ulisema Dr.Slaa ni Padre leo tena unakuja na drama zingine.Katika ziara ya Ukawa awamu ya kwanza Dr Slaa ambaye ni mkuu wa msafara wa kundi lake amesema ktk uchaguzi uliopita angeweza kutumia maaskofu kumsaidia kama angetaka. " Unajua maaskofu wengi ni rafiki zangu na wengine nilikuwa boss wao wakati nikiwa katibu wa balaza la maaskofu, wakati huo wengi walikuwa mapadre" Alisema.
Alisema hakuona haja ya kuomba msaada kwani hakuwa anagombea uaskofu, alisema "sikuwa natafuta kazi ya uaskofu, nilikuwa natafuta kazi ya kuongoza wenye dini na wasiokuwa na dini" Alisema ukiwa na uroho wa madaraka unaweza kufanya lolote hata kujiua kama yule waziri wa Malawi aliyejipiga risasi kwa kukosa ubunge.
Source: Mi mwenyewe ktk msafara na leo tunamaliza awamu ya kwanza Geita.
Dr Slaa maneno hayo ni ya kuwashukuru Maaskofu kwa kazi kubwa waliyofanya makanisani kumnadi. Pia ana appeal kwao ili wamsaidie tena 2015
mpelekee mkeo then ukachukue majibu after 30 days!!Dr slaa siku hizi kachoka ,msahaulifu sana uzee unamsumbua
Kuna watu ambao ni wezi waliokubuhu na waroho wa madaraka.Kazi kupita Misikitini na Makanisani tu .
Hawa wakikosa madaraka mwakani wanaweza kujiua
Dr.Slaa ameonyesha historical background na pia ameonyesha kuwa principled.
Tatizo tuna taifa la viongozi wajanja wajanja na opporunists ambao hawako consistent au principled.
mpelekee mkeo then ukachukue majibu after 30 days!!