Katika ziara ya Ukawa awamu ya kwanza Dr Slaa ambaye ni mkuu wa msafara wa kundi lake amesema ktk uchaguzi uliopita angeweza kutumia maaskofu kumsaidia kama angetaka. " Unajua maaskofu wengi ni rafiki zangu na wengine nilikuwa boss wao wakati nikiwa katibu wa balaza la maaskofu, wakati huo wengi walikuwa mapadre" Alisema.
Alisema hakuona haja ya kuomba msaada kwani hakuwa anagombea uaskofu, alisema "sikuwa natafuta kazi ya uaskofu, nilikuwa natafuta kazi ya kuongoza wenye dini na wasiokuwa na dini" Alisema ukiwa na uroho wa madaraka unaweza kufanya lolote hata kujiua kama yule waziri wa Malawi aliyejipiga risasi kwa kukosa ubunge.
Source: Mi mwenyewe ktk msafara na leo tunamaliza awamu ya kwanza Geita.