Dr. Slaa: 2010 ningetaka Maaskofu wangenisaidia

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Katika ziara ya Ukawa awamu ya kwanza Dr Slaa ambaye ni mkuu wa msafara wa kundi lake amesema ktk uchaguzi uliopita angeweza kutumia maaskofu kumsaidia kama angetaka. " Unajua maaskofu wengi ni rafiki zangu na wengine nilikuwa boss wao wakati nikiwa katibu wa balaza la maaskofu, wakati huo wengi walikuwa mapadre" Alisema.

Alisema hakuona haja ya kuomba msaada kwani hakuwa anagombea uaskofu, alisema "sikuwa natafuta kazi ya uaskofu, nilikuwa natafuta kazi ya kuongoza wenye dini na wasiokuwa na dini" Alisema ukiwa na uroho wa madaraka unaweza kufanya lolote hata kujiua kama yule waziri wa Malawi aliyejipiga risasi kwa kukosa ubunge.

Source: Mi mwenyewe ktk msafara na leo tunamaliza awamu ya kwanza Geita.
 
Nilivyoelewa Ujumbe Wake Ni Kuwa Baadhi Ya Wanasiasa Waache Kuwatumia Viongozi Wa Dini Kwa Manufaa Yao. VERY WELL KAMANDA
 
Dr Slaa maneno hayo ni ya kuwashukuru Maaskofu kwa kazi kubwa waliyofanya makanisani kumnadi. Pia ana appeal kwao ili wamsaidie tena 2015
 
Kuna watu ambao ni wezi waliokubuhu na waroho wa madaraka.Kazi kupita Misikitini na Makanisani tu .

Hawa wakikosa madaraka mwakani wanaweza kujiua

Dr.Slaa ameonyesha historical background na pia ameonyesha kuwa principled.

Tatizo tuna taifa la viongozi wajanja wajanja na opporunists ambao hawako consistent au principled.
 
Haswa! huo ndiyo msingi wa hoja yake na hakutakiwa kuwashambulia waliotumia nyumba za ibada kutafuta ukuu. Na wengine wanafanye hivo leo!
 
Kuna watu ambao ni wezi waliokubuhu na waroho wa madaraka.Kazi kupita Misikitini na Makanisani tu .

Hawa wakikosa madaraka mwakani wanaweza kujiua

Dr.Slaa ameonyesha historical background na pia ameonyesha kuwa principled.

Tatizo tuna taifa la viongozi wajanja wajanja na opporunists ambao hawako consistent au principled.

Haswa! huo ndiyo msingi wa hoja yake na hakutakiwa kuwashambulia waliotumia nyumba za ibada kutafuta ukuu. Na wengine wanafanye hivo leo!
 
Katika ziara ya Ukawa awamu ya kwanza Dr Slaa ambaye ni mkuu wa msafara wa kundi lake amesema ktk uchaguzi uliopita angeweza kutumia maaskofu kumsaidia kama angetaka. " Unajua maaskofu wengi ni rafiki zangu na wengine nilikuwa boss wao wakati nikiwa katibu wa balaza la maaskofu, wakati huo wengi walikuwa mapadre" Alisema.

Alisema hakuona haja ya kuomba msaada kwani hakuwa anagombea uaskofu, alisema "sikuwa natafuta kazi ya uaskofu, nilikuwa natafuta kazi ya kuongoza wenye dini na wasiokuwa na dini" Alisema ukiwa na uroho wa madaraka unaweza kufanya lolote hata kujiua kama yule waziri wa Malawi aliyejipiga risasi kwa kukosa ubunge.

Source: Mi mwenyewe ktk msafara na leo tunamaliza awamu ya kwanza Geita.
Kamamda mbona unatuchanganya jana ulisema Dr.Slaa ni Padre leo tena unakuja na drama zingine.
 
Dr Slaa maneno hayo ni ya kuwashukuru Maaskofu kwa kazi kubwa waliyofanya makanisani kumnadi. Pia ana appeal kwao ili wamsaidie tena 2015

Hahahaha!! Lizaboni bana wewe na Dr.Slaa ni chui na paka siyo! Hakuna hata siku moja utamuunga mkono huyu Kamanda mkuu.alichikusema hapo anamaanisha kuna baadhi ya viongozi wanatumia dini kupata madaraka sisi wananchi tunaona.
 
Kuna watu ambao ni wezi waliokubuhu na waroho wa madaraka.Kazi kupita Misikitini na Makanisani tu .

Hawa wakikosa madaraka mwakani wanaweza kujiua

Dr.Slaa ameonyesha historical background na pia ameonyesha kuwa principled.

Tatizo tuna taifa la viongozi wajanja wajanja na opporunists ambao hawako consistent au principled.

Mkuu slaa ameongea uongo...

Mtikisiko alioupata JK 2010 kutoka kwa maaskofu waliombeba slaa wewe unaujua....

JK kuongea bungeni kuwa kuna udini alikua na maana kubwa hakuongea kujifurahisha...
 
Back
Top Bottom