Dr shika

Kwa huo msoto wa kimaisha, njaa kali na msongo wa mawazo, siku sio nyingi tutakuja hapa na RIP. Mungu aepushilie mbali hilo.
Huyo jamaa inapaswa atafutiwe kibarua cha kimjini kimjini apate pa kula na kulala ili kumsitiri utu wake.
 
Saiv ni hatambuliki tena kwenye jamii na hasa zaidi zile media zilizomtumia kwaajili ya kazi zao mbalimbali.

Ule mnada uliharibika kwa kias fln kwa kutumia yeye, lakin saiv hatambuliki na hathaminiki

Angepatiwa at least kazi ya kufanya na wale wakubwa wakati yuko kwenye uzee wake ( wengine hatuna)

Au pengine watu walikua serius na alivyodai ana mamilion urusi? Ni fumbo nini kinamsumbua!
 
Kwa huo msoto wa kimaisha, njaa kali na msongo wa mawazo, siku sio nyingi tutakuja hapa na RIP. Mungu aepushilie mbali hilo.
Huyo jamaa inapaswa atafutiwe kibarua cha kimjini kimjini apate pa kula na kulala ili kumsitiri utu wake.
Akipata pa kulala tu inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…