Dr. Shika amepotea ghafla, kulikoni?

Dr. Shika amepotea ghafla, kulikoni?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,775
Mwanzoni alikuwa lulu ghafla amepotea, kuna sehemu kapata ajira au fedha zimeshawasili?
 
AMEINGIA GHAFLA,Amejulikana GHAFLA,naona umaarufu unapotea ghafla,hawezi kuhimili maisha ya uchumi wa sasa.!
 
Nimemuona leo jioni maeneo ya Sinza karibu na stendi ya Mawasiliano akitoka 'kazini'. Alikuwa kapendeza.
Ila alikuwa anatembea kwa mguu huku anaangalia chini.
MI nilipishana nae Mnazi Mmoja last week, alikuwa smart, mdogo mdogo
 
Alipotezwa na tangazo la ujio uraiani akina Babu Seya!
Bora dr, hao ndio hawaja trend kabisa, mikwara mingi kwamba ujio wao utatikisa lakini hakuna kitu. Dr ali trend huwezi linganisha na hao kabisa
 
Hao walikosea timing yani ilifaa walipotoka tu jela wapige show taifa wangepiga hela ndefu sana
Mie nawaona wasanii tu wale. Yule dogo aliandika waraka mreefu kuwa akipata msamaha wa rais, basi atafanya kazi ya kumsifu Mungu. Ametoka, anafanya kinyume kabisa. Akumbuke Mungu hadhihakiwi na yatamrudi!
 
Back
Top Bottom