Dr. Shika amepotea ghafla, kulikoni?

Dr. Shika amepotea ghafla, kulikoni?

Mwanzoni alikuwa lulu ghafla amepotea, kuna sehemu kapata ajira au fedha zimeshawasili?
kina dr shika huwa wanakujaga kama popobawa,sijui mtu ametoka manyonya alivyompa ombaomba ela..wana mda wao nchi ikiwa kwe pressure ila ikiisha nao wanapotea..zinaitwagwa propaganda
 
CIA wamegundua wataanikwa habari zao, kwa hiyo yupo nao pale ubalozini
 
Hao walikosea timing yani ilifaa walipotoka tu jela wapige show taifa wangepiga hela ndefu sana
kwa kweli wewe ni mjasiriamali. Hela ambayo wangepata siku hiyo wasingejitaji kufanya kazi mwaka mzima. Hata hivyo msamaha wa JPM uliwa-surprise, hawakutajia!
 
Aliletwa maalum kufukia mjadala wa makinikia.
 
Back
Top Bottom