MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,051
Rais wa zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein ameahidi kuwa wataendelea kutekeleza ahadi zao walizotoa.
Chanzo: Zanzibar leo
Chanzo: Zanzibar leo
Itakuwa ni ahadi zote tangu uhuru, kwa hiyo wanaendelea kuzitekeleza taratibuMmhhhh zipi hizo? Za 2010-2015,Au 2015-2020?
Ameahidi kuzitekeleza ahadi zote kwa hiyo nafikiri wazanzibari watamuelewaAmpishe Maalim Seif hapo ikulu then atekeleze hizo ahadi akiwa pale Kisiwandui. Wazanzibar hawamtambui yeye (Shein) kama rais wao.
Nkurunzinza anaua watu, huyu anaendelea kutekeleza ahadiPierre Nkurunzinza wa Tanzania
Mshindi alikuwa nani baada ya uchaguzi?Mwache azitekeleze maana uchaguzi umekwisha
Hapo mkuu sijakuelewa, naomba urudie vizuri ili nikueleweKama kiongozi mkuu wa nchi pia anawajibu wa kutatua KERO KUU ILIYOPO SASA!! Hayo ya ahadi awaachie walio ahidi,
Hapo mkuu sijakuelewa, naomba urudie vizuri ili nikuelewe
Kwani mkuu unafikiri sasa hivi muungano upo salama?Huyu jamaa anavunja katiba na kwa mwendo huu Muungano hautakuwa Salama
Mkuu mimi natoa tu taarifa niliyoiona kwenye gazeti la serikali la zanzibar@MKWEPA KODI hope unakifahamu fika mgogoro wa kisiasa ZNZ na siasa ndio utawala wa nchi unaosimamia maeneo ya uchumi na jamii kwa ujumla wake. Katiba inamtambua na kumheshimu kwamba yeye ndiye Raisi baada ya uchaguzi kuvurugika, sasa kwake Uchaguzi/kupatikana kwa raisi mpya ndiyo inatakiwa kuwa sehemu yake kuu kuishughulikia kwani kuendelea na mengine ambayo watendaji wake wapo kisheria na yeye kulifumbia macho na kulizibia maskio hili la upatikanaji wa RAIS mpya halina tofauti na kule kwa jirani wetu kwani hata yeye anadai kwamba wako shwari lakini hawako shwari
Watakuwa wanamuonea kwa sababu ameahidi kutekeleza Yale yote waliyoahidiJana Prof. Lipumba amemsihi atumie busara kama anataka wanaharakati wawachochee vijana waanze mapambano ya kupinga utawala wake?!
Nadhani hilo hawakuahidianatakiwa atekeleze ahadi moja kuu italeta maendeleo na gharama za maisha zitashuka zanzibar na nitampa heshima sana nayo ni KUWA MAKAMO WA RAIS WA ZANZIBAR KWA 2015-2020