Mtoto wa nyoka ni nyoka, lini akawa kenge ati!
Anahofu na kura za kule hapo 2010. Lakini anasahau kuwa kuna wale wa Zombe kule mahenge, hawatadanganywa na Kivuko. Mwehu gani ataamini kuwa upembuzi yakinifu unafanywa toka 2006 hadi 2009??? Yaani upana wa mto wa pale kwenye ngalange (samaki wa kukaanga) unahitaji miaka mitatu kwa upembuzi yakinifu..!!!!!???? Hivi kama upembuzi unachukuwa muda huo, ujenzi utachukuwa muda gani. Yaani Sheni na Pinda kauli zenu siku hizi siwaelewi. Kweli kwenye msafala wa mamba na kenge wamo................ Nahisi hata mijusi, vinyonga (wa kubadilikabadilika), mende nao pia manakuwemo......Duh Dr. Mbona unaanza ukinyonga....????!!! WHY..???? KWA NINI..????Jana katika taarifa mbalimbali za habari, Makamu wa Rais Mh. Dr. Shein alisikika akiwahutubia wananchi kwamba serikali inatambua matatizo ya waalimu kama ambavyo yeye na viongozi wenzanke wanavyoyafahamu majina yao, sanjari na hilo, akitembelea kivuko cha Kilombero, alikaririwa akisema serikali inakumbuka ahadi zote ilizotoa mwaka 2005 juu ya kuwapatia wananchi wa Kilombero kivuko kipya, na kwamba wataalamu wako kwenye upembuzi yakinifu ili kuhakikisha suala hilo linapatiwa ufumbuzi wa kudumu.
Binafsi namuheshimu sana kiongozi huyu, ambaye ameonekana ni mtulivu pengine kuliko viongozi wengi katika baraza la mawaziri la awamu ya nne. Lakini kauli zake za hivi karibuni zimeanza kunipa hofu kwamba pengine mheshimiwa ameanza kuingia kwenye kauli za "kisiasa" zaidi ambazo hazilingani na jinsi alivyojipambanua katika jamii.
Watanzania tumechoka na kauli kama hizi, upembuzi gani unaofanyika toka mwaka 2006?? Kama matatizo ya waalimu wanayafahamu vyema, kwa nini wasiyatafutie suluhisho la kudumu???
yaaani huuu uchaguzi 2010 unaleta mambo ...hii message sent kwa waalimu ili watoe kura zao bila hiana .. sisi walimu tumechoshwa na kauli zenu za uongo na kweli
wizi mtupu
yetu macho
yaaani huuu uchaguzi 2010 unaleta mambo ...hii message sent kwa waalimu ili watoe kura zao bila hiana .. sisi walimu tumechoshwa na kauli zenu za uongo na kweli
wizi mtupu
yetu macho
Jana katika taarifa mbalimbali za habari, Makamu wa Rais Mh. Dr. Shein alisikika akiwahutubia wananchi kwamba serikali inatambua matatizo ya waalimu kama ambavyo yeye na viongozi wenzanke wanavyoyafahamu majina yao, sanjari na hilo, akitembelea kivuko cha Kilombero, alikaririwa akisema serikali inakumbuka ahadi zote ilizotoa mwaka 2005 juu ya kuwapatia wananchi wa Kilombero kivuko kipya, na kwamba wataalamu wako kwenye upembuzi yakinifu ili kuhakikisha suala hilo linapatiwa ufumbuzi wa kudumu.
Binafsi namuheshimu sana kiongozi huyu, ambaye ameonekana ni mtulivu pengine kuliko viongozi wengi katika baraza la mawaziri la awamu ya nne. Lakini kauli zake za hivi karibuni zimeanza kunipa hofu kwamba pengine mheshimiwa ameanza kuingia kwenye kauli za "kisiasa" zaidi ambazo hazilingani na jinsi alivyojipambanua katika jamii.
Watanzania tumechoka na kauli kama hizi, upembuzi gani unaofanyika toka mwaka 2006?? Kama matatizo ya waalimu wanayafahamu vyema, kwa nini wasiyatafutie suluhisho la kudumu???
If you could edit your post please delete the word kweli.
Itabidi agombee uraisivi Chain anaweza kubaki Makamu? Au itabidi akae benchi akitimiza miaka kumi?