OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Kamati kuu ya ccm imeamua Kuwait Rais awamu ya atoke Zanzibar hoja iliyozua utata kwenye kikao mtonyaji anasema tayari kimenuka ndani wajumbe Leo wamenyanganywa Simu
Baadae kidogo naleta kinachoeendelea ndani salsa hivi
yani mtu anakuwa rais mara mbili..kwani hii katiba takataka inasemaje kuhusu hili?
Dr Shen yupi? Jamani mimi siyo mbaguzi lakini nasema kweli fitina kwangu mwiko.Sijaona Mzanzibari anaeweza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Salim Ahmed Salim 2005 angeweza ila sasa umri umeenda, huyo ndiyo mzanzibari pekee ambae angeweza kuwa rais wa Tanzania ila waliobaki labda wasubiri kizazi cha tano baada ya kizazi hiki kuotoweka duniani
Dr
Shein ni goigoi hawezi lolote huku bara.
Kamati kuu ya ccm imeamua Kuwait Rais awamu ya atoke Zanzibar hoja iliyozua utata kwenye kikao mtonyaji anasema tayari kimenuka ndani wajumbe Leo wamenyanganywa Simu
Baadae kidogo naleta kinachoeendelea ndani salsa hivi
Usijali mshikaji huyo ni mbumbu sie wakirsto tunataka waendelee kuongoza waislam kwa sababu sio wezi sana labda awe muislamu jina. Ukitaka kujua hilo hebu taja orodha ya mafisadi ishirini tuone wakistu wangapi na waislam wangapi. Tukimpata muislam wa kweli tutakula bata kinoma