"DR" Shayo the plagiarist

Nilikuwa sijastukia kuwa Michuzi aliondoa ile barua toka Al Ahram

This is embarrassing..
 
Wapo wengi. Mnamkumbuka yule waziri Nundu aliyeletwa na JK toka Canada akagombea Ubunge akapewa uwaziri.

Akaanza kupingana na naibu wake kwenye magazeti, redio na TV.

Hawa wabangaize huko nje Tz kiboko!
 
Can we give him a chance to respond to this issue? Mod mtafute aseme wazi kwa nini amefanya hayo yanayosemwa. Isije ikawa huckers wamefanya kazi yao (sheer apology) kumcook aonekane si kitu. Let give him a room if possible.

Hawezi kuthubutu kuja humu kichwa kichwa. Some comments za mwanzo za thread hii, utajua sababu zake.
 

Tunahitaji wasomi kama hawa waliobobea ili kujenga taifa letu changa. Dr.Shayo anastahili kupewa kazi ya Gavana wa BOT, Profesa Ndulu akistaafu.
 
Kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo, yaani Mwakyembe alichukua galasa akaliweka limsaidie kazi? Anyway mpaka sasa kidogo kuna kamwelekeo, tusubiri yaliomo yawemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…